2010:
Let as look at who posed the greatest threat to JK's ambitions in 2010, it was Dr. W. Slaa. W. Slaa happens to be a former member of the clergy. Thus what was the strategy this time, to paint Chadema as a Christian party and Dr. W. Slaa as a former clergy with a religious agenda. Sadly but true, most of our Muslim brothers and sisters are more sensitive to religious matters than are Christians and they took it to heart that Chadema was a Christian party and that those who opposed JK only did so out of spite for Islam "udini". If memories serve you all well it was CCM and not any other party which was trumpeting "udini".
Tuanze hapo kwenye RED, is General Election RELIGIOUS MATTER?!
Labda tu nikuambie wazi kwamba bado kabisa hujaifahamu Muslim Population.....kabisa!! Frankly speaking, ni rahisi kushawishi Wakristo kufanya maamuzi kwa kuangalia dini kuliko kufanya hivyo kwa Waislamu! Unajua kwanini?
1. Wakristo ni hodari sana katika ufanyaji ibada, hususani ile ya kusali...!! Ibada ya Sala inakusanya waumini wengi wakati mmoja!! Unfortunately, Waislamu sio wazuri katika ibada za sala! Ibada pekee ambayo inafanywa na Waislamu kwa wingi ni FUNGA!! Ingawaje ibada zote ni sawa, lakini ibada ya SALA inasisitizwa sana.....sasa unatarajia vipi mtu ambae hata ibada hafanyi akawa sensitive na Religious Issues? Nyinyi mnatishika na hawa wafuasi wachache ambao mara kwa mara wamekuwa wakifanya hata maandamano!! Ukiangalia kwa makini, utagundua hiyo ni sehemu ndogo sana ambao wengi wao ni wale walio against BAKWATA! Hawa walio against BAKWATA ni wale ambao angalau dini wanaifuatilia na wengi wao unakuta ni wafuasi wa taasisi zingine za Kiislamu, hususani zile zenye mwelekeo wa akina Sheikh Ponda!!
Majority of Muslims wala hawana muda hata wa kufahamu ni nani anaongoza BAKWATA!! Lakini ajabu zaidi, hawa ambao wala muda hawana, kwa upande mwingine wanachukizwa na vitendo vinavyofanywa na Wanaharakati wa Kiislamu!!
Hawa walio against BAKWATA, ni kweli wana tabia ya kuwatii viongozi wao; narudia, viongozi wao na sio viongozi wa serikali!! By the way, hawa wengi wao wapo against na serikali ya CCM! Kwahiyo JK hana ubavu wa kuwashawishi hawa watu hata siku moja!!Kwa hawa majority of muslmis, umuhimu wa BAKWATA unakuja wakati ule tu wa kutangaza kuonekana kwa Mwezi Mtukufu na ule wa kusherehekea Iddy! Waislamu hawa, hata kama atasimama Mufti akasema chagueni CCM, ni wchache sana ambao wataitikia wito wake! Hata viongozi wa BAKWATA wenyewe wanafahamu kwamba hawana sauti kwa wale wanaowaongoza! Kama ingekuwa Waislamu wako sensitive kiasi hicho basi leo hii CUF ingekuwa na majimbo kibao pwani! INgawaje propaganda za udini dhidi ya CUF zilikuwepo zaidi 2005 kuliko sasa, lakini bado CUF hawakuweza kuchukua kiti chochote cha ubunge mikoa ya pwani; ukiondoa Dar es salaam ambayo haina mwenyewe!! CUF ni Chama cha Waislamu(according to propaganda za CCM ambazo CUF nao walizipenda) na JK ni Mwislamu.....sasa kwanini Waislamu wasiichague CUF ambacho ni chama kwa niaba wao na badala yake waamue kumchagua tu Mwislamu ikiwa unaamini kwamba Waislamu ni rahisi kushikiwa akili kiasi hicho?!
2010 CUF wamechukua viti viwili Lindi....ni rahisi mtu kuamini kwamba ni kwavile LIndi kuna Waislamu wengi...!! MTu atajiuliza, 2005 hao Waislamu Lindi hawakuwepo?! Hata hivyo, kwa mtu ambae aliziona jitihada za Lipumba 2010 mikoa ya Kusini katu hawezi kuhusisha ushindi huo ulichangiwa na dini ya watu wa Lindi! Lipumba alipiga kambi kwa siku kadhaa mikoa ya kusini, wakati watu kama CHADEMA walitumia just few hours kwa mikoa yote!! Na kama kweli CUF walibebwa na Uislamu wa Lindi, basi wangepata viti vya ubunge hata Tanga!!!