Tunaendelea kuwachapa fimbo taratibu. Wenyewe waendelee na misifa ya GDP
Winner of the Best Government Emerging Technologies Award, are Australia’s National Cities Performance Framework, Tanzania’s portable DNA sequence device, and India’s Aadhaar
The World Government Summit 2018 in Dubai comes to an end
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]mbona hata kupita tu nawapigia??
njooni jamaa zetu. tupige story hii.
ahaaa haaa haaa
SIKU chache baada ya Tanzania kunyakua tuzo za kimataifa za Uchumi Jumuishi na Utawala Bora, imepata tuzo nyingine mpya ya kimataifa iliyotokana na kuwa na teknolojia bora duniani.
Tuzo hiyo ambayo Tanzania imepata, inafahamika kama Tuzo za Kilele cha Serikali duniani (World Government Summit Awards) katika kundi la Tuzo ya Teknolojia bora inayoibuka Serikalini (Winner of the Best Government Emerging Technologies Award).
View attachment 696280
https://www.worldgovernmentsummit.o...ssions/world-government-summit-award-ceremony
My Take: Tutaelewana tu mambo yanazidi kunoga. Kenya haimo.
Tanzania yapata tuzo ya teknolojia
Mimi ni mtanzania, ila huu upuuzi wa tuzo uchwara na za kupika ndio unatufanya tuendelee kuwa maskini!!
Kwanza hizo tuzo za Uchumi Jumuishi na Utawala Bora, je tanzania kuna utawala bora toka lini? uchumi upi??
Na hiyo tuzo ya emergine technology sijui, ina uhalisia gani??
Mbona tunadanganyana??
Ignorance imekujaa...jielimisheMimi ni mtanzania, ila huu upuuzi wa tuzo uchwara na za kupika ndio unatufanya tuendelee kuwa maskini!!
Kwanza hizo tuzo za Uchumi Jumuishi na Utawala Bora, je tanzania kuna utawala bora toka lini? uchumi upi??
Na hiyo tuzo ya emergine technology sijui, ina uhalisia gani??
Mbona tunadanganyana??
A failed state [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Jielimishe wewe kwanza.Ignorance imekujaa...jielimishe
Mbona hilo ni gazeti la kwenu ndilo lililochapisha hiyo habari, hiyo ni report ya reserch iliyofanyika nchi nyingi za Africa, soma ili upate kujua kwanini imeandikwa hivyo, acha kukariri GDP, reserch za uchumi hazitizami GDP, zinatizama individual income, wakeup nyang'au from hangover of GDP.