Tanzania witch doctor on the run after causing death of two people

Kumbe hata middle income countries zina wateja wa haya mambo au wamekuja tu kuwatibia ombaomba wa Kitanzania walioko uko?
Mkuu hawa ukiwaita middle income wanavimba vichwa, waite lower middle income utaona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ni kitu hawataki hata kuskia
 
Musbizusblog, hehe hii blog itakuwa ni yako, hata kuifungua sitodhubutu jombaa. Kama tumewai nafasi ya nne tz mtakuwa nambari -54, yaani lazima kuwe na nafasi 50 kati ya Ke na Tz, hehe πŸ˜€.
Kalagabao
 
Kutwa hamuachi kukitaja, hata kwenye mambo ya uchawi, unatumia CCM kujenga hoja kuonyesha kwamba kwasababu CCM wanatumia waganga, kwahiyo waganga must be many and powerful, hiyo ni dalili mnakiogopa sana, otherwise msingekuwa mnakitaja mara kwa mara, huku hatuitaji Jubilee wala NASA, kwasababu are seasonal parties.

Anyway, kutaka kukuthibitishia kwamba ninyi bado mnathamini sana uchawi wakati sisi huku soon tutatoka katika top ten list ya nchi zinazoamini uchawi
Top 10 African countries that have the strongest juju and witchcraft – #1 will surprise you big time! | Page 6 of 6 | MusBizusBlog
kataa na hii nayo..bure kabisa wewe
 
Jione, sasa unajaribu kuaminisha nani kwamba Kenya kuna imani za kishirikina zaidi ya tz? Wewe mwenyewe unajua ligi ya tz ni Nigeria pekee yake. Yaani mnavovuna sehemu za miili ya binadamu kwasababu ya uganga ni aibu kubwa sana kwa waafrika. Afu Kenya sijawai sikia wachawi wanasafiri usiku angani kama ndege kwa kutumia sijui uteo na vifagio. Hongera zenu, mnatesa sana.
 
Mimi ninakupa ushahidi kwa kutumia research iliyofanywa na independent institutions, wewe unaleta story za vijiweni, kwamba kwasababu wewe hujasikia, au kwasababu wewe umesikia ndiyo inatosha kuhalalisha au kukataa jambo, bado hujajua kutumia supportive evidences kutetea hoja zako, rudi Kilimani dady and mammy huko sio lazima kutoa evidence, hiyo niliyokuwekea hapo ni matokeo ya research zilizofanywa, pinga kwa kutoa ripoti tofauti sio kupiga mdomo mtupu, rudi Kibera ukalale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…