pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Naona unajivunia export ya kijinga ya kitz inayofika Kenya. Hiyo ni kawaida ya chama cha Raila, swahiba wa JPM. Alimuibia siri lakini wapi, bado alishindwa kwenye kura. Nguvu za giza na ushirikina havipo strong Kenya kama huko tz. Au labda hawakuelewana ilipofika wakati wa malipo.Ndio maana tunakwambia wakenya wanaibiwa hasa kwenye uchaguzi Tanzanian witch doctor reveals Kenyan politicians seeking his help to win elections (VIDEO) - Kenya Today