hehehehehe walijaribu wakashindwa.... Bulldozer haniwezivituko kweli, Oyster Bay kumbe ni kijiji tu kama tandale....
namwombea Mena Dewji na waliofanya uhuni huu wapatikane kwa haraka.
fanboy eh?hehehehehe walijaribu wakashindwa.... Bulldozer haniwezi
True Hustlerfanboy eh?
Kama sio waganda basi watakua ni wakenya ndio wenye tabia ya kuteka kwa ajili ya kuitisha pesavituko kweli, Oyster Bay kumbe ni kijiji tu kama tandale....
namwombea Mena Dewji na waliofanya uhuni huu wapatikane kwa haraka.
Kama sio waganda basi watakua ni wakenya ndio wenye tabia ya kuteka kwa ajili ya kuitisha pesa
Acha kuropokwa wewe. Did the abduction take place in Kenya?Kama sio waganda basi watakua ni wakenya ndio wenye tabia ya kuteka kwa ajili ya kuitisha pesa
Kuliko ya kwenu kunya!Maigizo ya Bongo yaani full movie.
Kuliko ya kwenu kunya!View attachment 894386
Acha ubaguzi, fanya kazi ili uongeze thamani yako katika jamii. Hivi unataka kulinganisha mchango wa MO, au Bakhresa katika uchumi wa nchi hii na mtu gani mwengine,?, hilo hulioni umeona rangi pekee?.Swali ni kwamba Mwafrika mweusi angetekwa India/ Pakistani, Je, nchi nzima ya India /Pakistani wangekosa usingizi?
Ni dhambi kwa Mungu kuthamini binadamu wa ,,race“ nyingine kuliko unavyothamini yako wakati yeye anakuona kama takataka!
Hata Bank za Tanzania zilipokua zinavamiwa 98% ya wahusika waliokamatwa na kufungwa na wengine kuuliwa walikua wakenya.Acha kuropokwa wewe. Did the abduction take place in Kenya?
So that makes you suspect Kenyans? Hiyo nchi ni yenu ama ni yetu?Hata Bank za Tanzania zilipokua zinavamiwa 98% ya wahusika waliokamatwa na kufungwa na wengine kuuliwa walikua wakenya.
Crime is the first commodity Kenya exports to its neighborsSo that makes you suspect Kenyans? Hiyo nchi ni yenu ama ni yetu?
First commodity of TZCrime is the first commodity Kenya exports to its neighbors
You are very right, we export bergers to you, you exports crime and terrorists to Tanzania
Acha ubaguzi, fanya kazi ili uongeze thamani yako katika jamii. Hivi unataka kulinganisha mchango wa MO, au Bakhresa katika uchumi wa nchi hii na mtu gani mwengine,?, hilo hulioni umeona rangi pekee?.
Akili yako ndogo sana na kuna uwezekano huna kipato ndio sababu umejawa na wivu. Kama huna kipato unakua na hasira muda wote tu, South Africa wanawauwa waafrika wenzao waliowasaidia kumaliza ubaguzi wa rangi, wanaofanya vitendo hivyo ni watu wasio na kazi kama wewe, hata huko India wanaofanya hivyo ni magenge ya kihuni kama wewe.Haijalishi ni swala la kujithamini tu, kutokuwa mbaguzi wakati unabaguliwa ni ishara ya kuwa na low IQ, Indians don’t give a shit about you, wewe na wenzako mnakosa usingizi kwa ajili yao, India Waafrika wanapigwa na Polisi tena Waafrika Wanafunzi huku Wananchi wa Kihindi wakishangilia lkn kwetu mnawachukulia kama Miungu, siajabu unamthamini huyo goro kuliko hata Baba yako mzazi!