Tanzania ya Amani!!

Tanzania ya Amani!!

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
vituko kweli, Oyster Bay kumbe ni kijiji tu kama tandale....
namwombea Mena Dewji na waliofanya uhuni huu wapatikane kwa haraka.
 
Attachments

  • IMG_20181011_100634_338.JPG
    IMG_20181011_100634_338.JPG
    36.7 KB · Views: 25
vituko kweli, Oyster Bay kumbe ni kijiji tu kama tandale....
namwombea Mena Dewji na waliofanya uhuni huu wapatikane kwa haraka.
hehehehehe walijaribu wakashindwa.... Bulldozer haniwezi
 
Maigizo ya Bongo yaani full movie.
 
vituko kweli, Oyster Bay kumbe ni kijiji tu kama tandale....
namwombea Mena Dewji na waliofanya uhuni huu wapatikane kwa haraka.
Kama sio waganda basi watakua ni wakenya ndio wenye tabia ya kuteka kwa ajili ya kuitisha pesa
 
Swali ni kwamba Mwafrika mweusi angetekwa India/ Pakistani, Je, nchi nzima ya India /Pakistani wangekosa usingizi?
Ni dhambi kwa Mungu kuthamini binadamu wa ,,race“ nyingine kuliko unavyothamini yako wakati yeye anakuona kama takataka!
 
Acha ubaguzi, fanya kazi ili uongeze thamani yako katika jamii. Hivi unataka kulinganisha mchango wa MO, au Bakhresa katika uchumi wa nchi hii na mtu gani mwengine,?, hilo hulioni umeona rangi pekee?.
 
Haijalishi ni swala la kujithamini tu, kutokuwa mbaguzi wakati unabaguliwa ni ishara ya kuwa na low IQ, Indians don’t give a shit about you, wewe na wenzako mnakosa usingizi kwa ajili yao, India Waafrika wanapigwa na Polisi tena Waafrika Wanafunzi huku Wananchi wa Kihindi wakishangilia lkn kwetu mnawachukulia kama Miungu, siajabu unamthamini huyo goro kuliko hata Baba yako mzazi!
 
Akili yako ndogo sana na kuna uwezekano huna kipato ndio sababu umejawa na wivu. Kama huna kipato unakua na hasira muda wote tu, South Africa wanawauwa waafrika wenzao waliowasaidia kumaliza ubaguzi wa rangi, wanaofanya vitendo hivyo ni watu wasio na kazi kama wewe, hata huko India wanaofanya hivyo ni magenge ya kihuni kama wewe.
 
Back
Top Bottom