Tanzania ya Amani!!

Acha ubaguzi, fanya kazi ili uongeze thamani yako katika jamii. Hivi unataka kulinganisha mchango wa MO, au Bakhresa katika uchumi wa nchi hii na mtu gani mwengine,?, hilo hulioni umeona rangi pekee?.
Jf,haimsaidii huyu.shenzi
 
Hivi huyu Mo hajapatikana? Mbona nilisoma uzi fulani ukisema amepatikana, jameni mtu wa watu muachieni.
 
Hivi huyu Mo hajapatikana? Mbona nilisoma uzi fulani ukisema amepatikana, jameni mtu wa watu muachieni.
Nimeona sehemu flani hivi wakisema kwamba ametekwa nyara kwa sababu za kisiasa. Jirani zetu wawe makini sana, wamtafute huyu jamaa kabla wambea waanze kuwachafulia jina.
 
#nyerereday2018
#bethelegacy
#bringbackourMO
 
Nimeona sehemu flani hivi wakisema kwamba ametekwa nyara kwa sababu za kisiasa. Jirani zetu wawe makini sana, wamtafute huyu jamaa kabla wambea waanze kuwachafulia jina.

Ina maana alikua amejiingiza kwenye siasa. Pole zake maana duh..
Alifaa kukaa mbali na siasa kama alivyofanya Bakhresa.
 
Ina maana alikua amejiingiza kwenye siasa. Pole zake maana duh..
Alifaa kukaa mbali na siasa kama alivyofanya Bakhresa.
Kwa taarifa yako mo ni wanasiasa kwa zaida ya miaka 20 na mbunge kwa zaidi ya miaka 15
 
Kwa taarifa yako mo ni wanasiasa kwa zaida ya miaka 20 na mbunge kwa zaidi ya miaka 15

Kwa mlengo upi, vipi alikua ameanza kuchokonoa asikofaa?
Mimi nilikua najua mfadhili wa Simba tu.
 
Swali ni kwamba Mwafrika mweusi angetekwa India/ Pakistani, Je, nchi nzima ya India /Pakistani wangekosa usingizi?
Ni dhambi kwa Mungu kuthamini binadamu wa ,,race“ nyingine kuliko unavyothamini yako wakati yeye anakuona kama takataka!
Bilionea lazima akitekwa iwe news awe mweusi au mweupe.
 
Tanzania is about to become a shithole. Investors wanapack bag zao na kubook flight out of the shithole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…