chase amante
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 5,599
- 2,115
Jf,haimsaidii huyu.shenziAcha ubaguzi, fanya kazi ili uongeze thamani yako katika jamii. Hivi unataka kulinganisha mchango wa MO, au Bakhresa katika uchumi wa nchi hii na mtu gani mwengine,?, hilo hulioni umeona rangi pekee?.