Mvua Mamba
New Member
- Jul 24, 2021
- 1
- 1
Tanzania tumekuwa tukipata wakati mgumu namna ya kuimarisha uchumi wa taifa ambo ndio dira ya Taifa kwa jamii nzima Katika kukua kwa uchumi na kuachana na umasikini;
Naitwa Raphael Edson mkazi wa mafinga iringa
Tanzania tumekuwa tukifanya maendeleo ya macho na si mwendo kwa muda mrefu kwasababu ya ukosefu wa maamuzi ya watawala kujua nini cha kufanya lakini naamini wanaelewa lakini sijui kigugumizi kinatokea wapi!
Hoja msingi nikuwa lazima lazima taifa tujue wengine walifanikiwaje lakini naamini tunajua walifanikiwaje lakini uoaga umetanda
Kwahiyo ni lazima lazima viongozi wetu waondoe hofu Kwanza wawe tayari kwa kulijenga taifa;
Kwasababu ili nchi iendelee ni lazima Taifa lenyewe yaani SERIKALI IFANYE BIASHARA hii ni lazima kwa lengo la kuimarisha sarafu kwa haraka ilikutoa mianya kwa wafanyabiashara wengine kustawi
Kimsingi Tanzania tuna BIASHARA FAIDA kuu mbili ambazo hazitaleta mgongano wa kimaslahi na jamii,
1;DHAHABU; Huu ni muhimili wetu mkuu ambao tukianza nao utatupa mafanikio ya haraka ukizingatia SERIKALI ikianza uchimbaji yenyewe ukizingatia tayari inalo jeshi lakujenga Taifa wanaweza kuifanya hiyo kazi kwa uadilifu bila kuingiliana na wabia ambapo zitatunzwa hazina kuu na BOTitaweza Kwanza kuimarisha sarafu yake kwasababu Katika upimwaji wa uzarishaji wa mali BOT Itasimamisha DHAHABU ambayo itaweza kushusha nguvu ya Dola na kupandisha shilingi yetu ambayo itaweza kuifanya jamii ipate nafuu ya kimaisha kwasababu kwasasa bado manunuzi tunafanya nje na hatuzalishi bidhaa
Sasa bado, nahii itaondoa mlundikano wa kikodi wanachi na SERIKALI itaweza kupanga bajeti inayo tekelezeka na kufikia maendeleo ya kimkakati,
2:kilimo hii ni karata yetu ya kimkakati lakini tunashindwa kuitumia ukizingatia asilimia kubwa ya jamii yetu ndo inaishi humo changamoto nikuwa tunalima Lima na hatulimi, kwasababu ya changamoto ya ughali wa mbejeo ,mbegu Bora na soko
Hapa kwetu licha ya SERIKALI kutangaza ruzuku lakini hua haitoshi kuwainua wakakulima kwakua bado hua inakuwa ni ghari zaidi hivyo walau mbolea ingekuwa shilingi 20000 kwa mfuko ingetoa mwanya mkubwa kwa wakulima kustawisha mazao kwa wingi ambayo yangekuwa ni msingi wa uzarishaji wa makighafi kwa wingi ambazo zitafanya tupate uwekezaji mkubwa wa kiviwanda na kuachana kabisa na habari ya wafanya BIASHARA kwenda kufuata bidhaa nje kwasababu pamba itazalishwa kwa wingi nguo tutapata hapa na bidhaa nyingine nyigi tutazalisha hapa ambazo zitafanya Taifa liinuke zaidi
Jambo muhimu uwajibika ,haki iwe ni msingi wa Taifa ufisadi usipate nafasi nchi itasonga mbele

Upvote
2