Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

Daaah, Kweli nchi hii ni ngumu kwelikweli
 
Utalii wa wanyama ni sehemu ndogo sana ya utalii mkuu km ulikua ujui france inaongoza kwa idadi kubwa ya watarii dunian sababu ya paris watu weng hutembelea paris kwa mwaka kulko wanaotembeleq bara zima la Africa kwa mwaka

Dubai amejenga majumba mazuri na sehemu nzuri za kufanya biashara na anapata watalii weng sana kwa mwaka

Marekani watalii hutembelea New york
United Kingdom watu hutembelea kwa weng kuangalia majumba ya kihistoria na kuona familia ya kifalme
Utalii wa wanyama na ivyo vivutio vingne ulivyotaja upo ila sio mkubwa km utalii wa majengo, historia

Brazil niya kwanza dunian kwa idadi ya vivutio ila niya 22 kwa idadi ya watalii nazan utakua umeelewa

Ttzo letu Wabongo tunazaniga kla ktu ni deal leo Tanzania kla mkoa kuna ifadhi au mbuga za wanyama wakat ayo maendeo wangepewa wakulima au wawekezaji wakajenga viwanda vingekuza sana uchumi wa nchi kulko kung’ang’ania wanyama wakt binadam hatuna sehemu za kuliwa wala kuishi
Dunian kuna kitu kinaitwa Zoo watu weng huangalia wanyama zoo ila akitaka kuona maeneo yao asili ndo huja Africa but watu weng sana dunian hutembelea Zuu(Zoo) kuliko wanaotembelea Mbuga za wanyama
 
Umeandika jambo zuri sana aise,
 
Katiba tu inatushinda hadi tunatiana jela, hili la kuvutia watalii ndio tutaliweza?

Nchi watu hatupendani tumekuwa kama kijii cha wachawi.

Mungu wa bariki Tanzania.
Tanzania inahitaji toba ili kurudisha upendo na mshikamano aliutuachia Mwalimu.
Kutiana jela ni mazoea uliyotoka nayo huku nje! Magerza hahusiki....kwa nini usishtaki kwa mnyapara?......unafurahia tuuu! Miaka yote....
 
Daaah, Kweli nchi hii ni ngumu kwelikweli
wewe ndo mgumu....nani akuletee hela kiubwete ivo? Eti utalii mweee? Wkt mnawatukana kila uchao eti ni wakoloni?wanyonyaji..mabeberu wala watumwa....utalii fanyeni weusi wenyewe huko....wakupeni hela mle mshibe halafu muwageuke??? Hamuaminiki Duniani nyie weusi!....nini ambacho hawana huko kwao?....tena wana chukua hapo kwenu dakika sifuri.
.twiga anapanda bombadier na daktari wake pembeni...masaa mawili tu tayari anatua earthrow....anapekekwa hospitali safi ya wanyama... Anapata tiba ambayo utakufa bila kuipata...... Sasa Mkoloni aje hapo kwenye majani yenye mbung'o...siasa chafu za ki magufuli... anaumwa akili au??? hata km ni wewe..utakubali huo ujinga? Yaani mkiona mkoloni tu mnapanua midomo tayari kumeza chochote anachotoa....mnawatisha....Hao wanyama mtakula wenyewe tu!! au muhamasishe ndgu zenu weusi ...lkn je? wanazo hela?? Lkn kwa mkoloni mnajisumbua tu. Ana kila kitu yule...labda nyie ndo mwende....
Hao weupe wanao kuja ni kuangalia tu maeneo yao ya madini...yaliyo buniwa na babu zao wakoloni zama zileee km bado hayaja guswa na mtu....baaasi !!!! nyie mnashangilia km majuha tu eti utaliii!!! ..mleta mada...... .tatizo elimu za shule za kata ndo haya?? Usinune ndo mlivyo.... Au laaa basi ndo nyie wa division zero?? Kamwe Msitujazie nzi humu jf bana!! Nenda majukwaa mengine huko kwa wenye akili km zako ndo ukweli...na ukweli utakuweka huru.... Bado mnatamani mnae mtukana kila leo..aina aina ya mitusi...eti aje akupe hela zake umtukane tena vizuri....na hkn sehemu mliyowaomba samahani kwa matusi yenu na wala hamjawahi kuwaza ivo!!!....hata km ni wewe utaufanya huo utalii?? Kwa amani?? Hata wakija humo kwenu hamuwaamini......
 
Nyaru-sare umetema nyongo ila umeonesha "Usiasa " zaidi kuliko uhalisia
 
Nafikiri mleta mada anasumbuliwa na kasumba ya kukariri mambo, anafikiri utalii kwa asilimia kubwa ni watu kusafiri kwenda kuona vitu kama wanyama, maporomoko nk.

Wapo wanaopenda kusafiri kwenda kupiga tu stori na watu wa mataifa mengine na kwa taarifa yako hao ndio wengi.

Sasa kwa nchi ambazo wakisoma kwenye mitandao mbalimbali wanakuta kwamba uhuru wa kujumuika na kujieleza ni kama haupo au ni mdogo wanakuwa hawana sababu ya kutembelea nchi sampuli hizo na ndio akina Tanzania.

Wenzetu ni watu wanapenda sana mifumo inayozingatia haki na sheria sasa wanaposoma mitandaoni wanakuta mara watu wanapigwa risasi na wengine mara manabambikiwa makesi ya kipumbavu wanaona nchi kama hiyo sio ya kuichangia kiuchumi bora waende kwingine kwenye utu.

Kumbuka kwamba kwa utandawazi uliopo sasa hivi humu duniani hivyo vivutio unavyovipigia kelele humu tayari wanavijua kupitia kwenye mitandao na sio lazima vitangazwe.
 
Nzuri sana
 
Noted
 
Hoja yako ni sawaa ila sio kweli
 
Safi Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…