Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
525
Reaction score
1,257
Wadau salama, kuna jambo moja naona linazidi kuwa gumzo mitaani, awali nilijua labda ni mtaani kwetu tu lakini naona asilimia kubwa ya wanaume wanalalamika kuhusu hili suala.

Nina rafiki yangu mmoja leo ametoka kunitumia sms analalamika kuhusu wadada, nakumbuka sentensi yake moja kaniambia โ€œMadem wa siku hizi hawana akili, wengi wao ni warembo lakini kichwani ziroโ€

Huyu jamaa sasa hivi anaelekea miaka 40, hajaoa nah ana demu wa kueleweka, alichelewa kuoa kwa kuwa alikuwa bize na mishe za biashara na masomo, lakini huu ni mwaka wa tano kila demu anayempata ni pasua kichwa.

Nilishamshauri kuwa huwezi kupata dem ambaye yuko perfect kwa kila kitu, hilo analijua lakini hata anaposhirikisha wenzake ambao hawajaoa au wengine ambao wameoa, matukio wanayomuelezea anakata tamaa ya kufunga ndoa.

Moja ya jambo analolalamikia ni kuwa wadada wengi kwanza hawana uwelewa wa kuwa na future, wanachowaza ni ku spend leo na hawajui kesho yao ipoje, wengine wao ni kuomba hela tu, wengine kukosa uaminifu.

Hiyo pointi ya mwisho ndiyo inamchosha zaidi, anasema anashuhudia wanawake wengi wake za watu wakiwa wanagongwa nje ya ndoa, wengi wao wanagongwa na ma ex wao, wengine wanagonjwa na masala wa mtaani tu.

Hilo jambo kiukweli hata mimi naliona na kuna muda naona kama tunakoelekea itafika hatua wanaume wataacha kuoa na watakuwa wakizalisha tu kisha wanalea watoto.

Kwa mwanaume yeyote uchungu mkubwa mkubwa mkubwa kuliko wote ni kugongewa mke au kubambikiwa mtoto, kwa sasa hio ndiyo michongo mingi.

Nisaidieni jamani, ni kweli asilimia kubwa ya wadada wa sasa hasa wale wa umri wa miaka 18 hadi 32 wengi wao ni PASUA KICHWA?
 
Huo ni uzembe wake ambao umetokana na kutokutumia muda vizuri na kusoma alama za nyakati.

Mke anapatikana kipindi cha kutafuta elimu aidha Msingi, Sekondari au Vyuoni hao wengine mnaokutana baada ya kuajiriwa sio mke ni mshikadau ambae mmekutana kufanya maisha ni kama business partner na sio mke.

Mwambie arudi kijijini kwao akaoe hatopata mke anayemtaka mjini sababu waliopo wote wanawatu au walikuwa na watu wao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 


Wengi hawatakuelewa.

Huwaga nawashauri Dada zangu na wadogo zangu chuoni, huo ndio muda wa kuhangaika walau wapate wenza wa maisha.
 
liko wazi hiloooo saiv unaoa mtu katobolewa mbele n nyuma na hujawahi toboa nyuma


wanapenda maisha mazuri.
 
Mke anapatikana kipindi cha kutafuta elimu aidha Msingi, Sekondari au Vyuoni
kama ndio hivyo basi topic ya kwanza, watoto pale darasa la kwanza inabidi wapewe ukweli kuwa Mke anapatikana kipindi cha kutafuta elimu aidha Msingi, Sekondari au Vyuoni.
So walizingatie Ilo mapema.
 
Actually wakaka na vijana ndio walishaisha kabisa

Hawajielewi tena

Wanatupa tabu sana wazeeโ€ฆ maana tunalea mama zao, mashangazi zaoโ€ฆ. Na sasa mademu zao

Inachosha

Vijana amkeniโ€ฆ. Undeni vikundi vya kupeana stadi z maisha na ujana

Achaneni na betting na kulelewa
 
Hilo nalo neno.
 
Moja ya jambo analolalamikia ni kuwa wadada wengi kwanza hawana uwelewa wa kuwa na future, wanachowaza ni ku spend leo na hawajui kesho yao ipoje, wengine wao ni kuomba hela tu, wengine kukosa uaminifu
KUKOSA UAMINIFU ndo janga la Taifa kwa sasa๐Ÿ™„
 
Watu tumejitenga na maadili mema ya dini na jamii kwa ujumla ndio matokeo hayo, na kwa hali hii tulio nayo miaka ijayo hali takua ngumu sana.
 
Wanaume wengi hawajatulia
Wasichana wengi hawajatulia

Wasichana wa vyuo wengi wao ni KIRUSI/U.T.I, kwanza kabisa hawajatulia, wanazaa hovyo, na ukiowa msichana wa chuo kubali kuolewa, isipokua wachache mno mno wanajielewa.

Kwa upande wa wanaume ni asilimia ndogo mno waliotulia.....kumpata mwanamme atakae kuowa na hana mtoto wa nje ya ndoa ni nadra sana, ukimpata hana basi una bahati kubwa binti.
 
Wewe ndio una matatizo,haiwezekani Hadi 40 hujaoa halafu unasingizia wadada,hata utakuwa na nongwa na gubu wewe!life expectancy yenyewe Africa fupi Hadi 40 hujaoa unatarajia Nini Sasa?wewe Ni PASUA KICHWA
 
Well said!!
 
๐™ณ๐šŠ๐šŠ๐šŠ๐š‘, ๐š‘๐šž๐šข๐š˜ ๐š“๐šŠ๐š–๐šŠ๐šŠ ๐šŠ๐š—๐šŠ๐š™๐š’๐š๐š’๐šŠ ๐š–๐š’๐š‘๐šŠ๐š—๐š๐šŠ๐š’๐š”๐š˜ ๐š—๐š’๐š—๐šŠ๐šข๐š˜๐š™๐š’๐š๐š’๐šŠ ๐š–๐š’๐š–๐š’ ๐š”๐š ๐šŠ ๐šœ๐šŠ๐šœ๐šŠ, ๐šข๐šŠ๐šŠ๐š—๐š’ ๐šœ๐š’๐š—๐šŠ ๐š–๐šŠ๐š‘๐šž๐šœ๐š’๐šŠ๐š—๐š˜ ๐šข๐šŠ๐š—๐šŠ๐šข๐š˜๐šŽ๐š•๐šŽ๐š ๐šŽ๐š”๐šŠ, ๐š–๐š‹๐šŠ๐šข๐šŠ ๐šฃ๐šŠ๐š’๐š๐š’ ๐š‘๐šŠ๐š๐šŠ ๐š”๐šž๐š ๐šŠ๐š‹๐šž๐š๐šž๐šŠ ๐š‘๐š’๐šฃ๐š˜ ๐š–๐š’๐š–๐š‹๐šŠ ๐šœ๐š’๐š ๐šŠ๐š‹๐šž๐š๐šž๐š’, ๐š—๐š’๐š”๐šŠ๐š“๐š’๐š๐šŠ๐š—๐šข๐šŠ ๐š–๐š”๐šŽ ๐š–๐š ๐šŽ๐š–๐šŠ ๐šŠ๐š—๐šŠ๐š๐š˜๐š”๐šŠ ๐š”๐š ๐šŠ ๐š‹๐š ๐šŠ๐š—๐šŠ ๐š”๐šž๐š–๐š‹๐šŽ ๐š—๐š๐š˜ ๐š—๐šŠ๐šฃ๐š’๐š๐š’ ๐š”๐šž๐šŸ๐šž๐š•๐šž๐š๐šŠ ๐š”๐šŠ๐š‹๐š’๐šœ๐šŠ ๐š–๐šŠ๐š’๐šœ๐š‘๐šŠ,
๐š”๐š’๐š•๐šŠ ๐š–๐šœ๐š’๐šŒ๐š‘๐šŠ๐š—๐šŠ ๐šž๐š—๐šŠ๐šข๐šŽ๐š–๐š๐šž๐šœ๐šŠ ๐šŠ๐š—๐šŠ๐š–๐š๐šž ๐š ๐šŠ๐š”๐šŽ ๐šŠ๐šž ๐šŠ๐š”๐š’๐š”๐šž๐š”๐šž๐š‹๐šŠ๐š›๐š’๐šŠ ๐šŠ๐š—๐šŠ๐š๐šŠ๐š๐šž๐š๐šŠ ๐š‘๐šŽ๐š›๐šŠ ๐šฃ๐šŠ๐š”๐š˜ ๐š–๐š ๐š’๐šœ๐š‘๐š˜ ๐šŠ๐š—๐šŠ๐šœ๐šŽ๐š™๐šŠ,
๐™ท๐š’๐š’ ๐š๐šž๐š—๐š’๐šŠ ๐š‹๐šŠ๐š—๐šŠ ๐š‘๐šŠ๐š’๐š“๐šŠ๐š ๐šŠ๐š‘๐š’ ๐š”๐šž๐š‹๐šŠ๐š•๐šŠ๐š—๐šŒ๐šŽ,
๐š—๐š’๐š”๐š’๐š•๐š’ ๐š”๐šž๐š ๐šŠ ๐š—๐š’๐š•๐š’๐š™๐š˜๐š๐šŽ๐šฃ๐šŠ ๐š™๐š˜๐š’๐š ๐š—๐š’๐š”๐š’๐š ๐šŠ ๐š”๐šŠ๐š๐š’๐š”๐šŠ ๐šž๐š–๐š›๐š’ ๐š ๐šŠ ๐š–๐š’๐šŠ๐š”๐šŠ 19, ๐ค๐ข๐ฉ๐ข๐ง๐๐ข ๐ง๐š๐ฌ๐จ๐ฆ๐š ๐š—๐š’ ๐š‹๐š˜๐š›๐šŠ ๐š—๐š’๐š—๐š๐šŽ๐š๐š’๐š๐š‘๐š ๐š–๐šŠ๐š™๐šŽ๐š–๐šŠ ๐šœ๐šŠ๐š—๐šŠ ๐ค๐ฎ๐ฉ๐š๐ญ๐š ๐ƒ๐ž๐ฆ๐ฎ,
๐๐ข๐ฆ๐ž๐›๐š๐ค๐ข๐š ๐ญ๐ฎ ๐ฆ๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข๐ค๐š ๐ญ๐š๐ฆ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ค๐š๐ญ๐ข๐š ๐ญ๐š๐ฆ๐š๐š, ๐ฎ๐ฅ๐จ๐ค๐จ๐ฅ๐ž ๐ฆ๐ฐ๐ข๐ง๐ ๐ข ๐ฎ๐ค๐ข๐ณ๐ข๐๐ข ๐ฌ๐จ๐ฆ๐ž๐ญ๐ข๐ฆ๐ž ๐ง๐ข๐๐ก๐š๐ฆ๐›๐ข ๐ฉ๐ข๐š
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ