Tanzania ya sasa kuna uhaba wa wadada wanaojielewa kwa ajili ya kuwa wake za watu

Na sisi ambao hatukua na madem kipindi icho cha shule, sijui itakuaje🤣.
Tusubiri kubatizwa na maji ya moto.
 
Maisha yamekua ya hovyo sana sikuhz,
Hata vijana wa kiume hawajui wajibu wao, wanaingia kwny mahusiano kutafta unafuu wa maisha [emoji4]
 
Ukiona hivyo huna mkwanja!
𝐌𝐟𝐚𝐭𝐢𝐥𝐢𝐞 𝐏𝐚𝐩𝐚 𝐦𝐚𝐟𝐢𝐝𝐨 𝐈𝐧𝐬𝐭𝐞𝐫𝐠𝐫𝐚𝐦 𝐚𝐮 𝐓𝐢𝐤𝐭𝐨𝐤, 𝐧𝐚𝐝𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐮𝐭𝐚𝐞𝐥𝐞𝐰𝐚
 
Ukuona mwanaume ana miaka 40 na kuendelea hajao ujue ana tatizo kubwa........
 
Ukiwa serious sanaa na wanawake utakuja kuoa, wale wa dudu wanachanganya hawasomeki, cha muhimu ni kuishi nao kimalengo tu, akizingua jifanya humtaki na tafuta tena mgine, usiongope kuachana na demu wa kitanzania utaumia ni pasua kichwa.
 
"Nisaidieni jamani, ni kweli asilimia kubwa ya wadada wa sasa hasa wale wa umri wa miaka 18 hadi 32 wengi wao ni PASUA KICHWA?"
Tukusaidie vp wakati sio wewe! Au ndio Lugha ya picha,Hapa mbona huonekani n
Bro.Anyway...
Nijuavyo mimi wanawake wanajua sisi Tunaishi nao kwa Akili,Kama wewe Huna Akili Utalalamika na kujaza Nyuzi humu wenzio wanakucheka wanakuona Dishi.
 
Hawa mademu pasua kichwa wa Sasa wapo kwa ajili ya wanaume pasua kichwa wa Sasa Sasa wewe jichanganye wa kipindi hicho lazma ulie mbona sisi freshi tu Ni mwendo wakuviziana tu, [emoji847]
 
hata huko kijijin wana watu wao pia
 
Toka dunia iumbwe mwanamke hajawah kueleweka na uamzi ni wake aoe au aacha hatuwez kumpangia
 
Achaneni na betting na kulelewa ... Mstari mkaliii😂😂
 
Nakazia
 
Kwanza sentensi yake ya kwanza inaonesha hayuko serious ety "mademu" kwanza unaanzaje kumuita mpenzi wako demu ,pumbavu
 
Wakaka wanaojielewa wakwapi? Huyo jamaa yako mwenyewe hajielewi. Marriage is not for everyone waachie wenye kipaji chao
 
Kijana kattaaaaa ndoa kwa ajili ya afya ya akili yako kataaa kabisa kataaa ndoa na mapenzi ni utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…