Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Waziri Mwigulu Nchemba amesema Serikali ina mpango ya kupandisha hadhi ya Tanzania kuwa na uchumi wa kidijitali na mojawapo ya hatua kubwa inayochukuliwa ni kuwa mfumo madhubuti ya kidijitali itakayowezesha wananchi kufanya malipo kwa urahisi popote kwa gharama nafuu
Serikali kupitia Benki kuu ilizindua mfumo wa kufanya malipo papo kwa papo(TIPS) ikiwa na lengo la kufanikisha gharama nafuu.
Mwigulu amesema zamani kulikuwa na kisingizio cha mtandao kuwa chini katika kufanya malipo na serikali ikaleta mfumo wa lipa namba ambao haiitaji kuwa na mtandao huo na ametoa wito watanzania kuwa na huduma hiyo kuipeleka Tanzania kwenye cashless economy.
Natoa wito wasitujaze huko kisha watuwekee tozo za ajabu ajabu mpaka unaona bora kuifikisha hela manually kuliko kutumia mifumo ya kidijitali.
===
Pia soma: LIVE - Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, leo Juni 13, 2024 Bungeni, Dodoma