mzeempili
JF-Expert Member
- Aug 16, 2021
- 327
- 531
Tuna matatizo sana wengineIndia ingekua Nchi MASIKINI?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna matatizo sana wengineIndia ingekua Nchi MASIKINI?
Viliuliwa na CCM.Kabla ya kujenga vipya.Vya zamani vilitokomea vipi?.Na je,tunajiaminisha vipi kwamba vikijengwa vipya havitatokomea kusikojulikana kama vya mwanzo?
Basi wao CCM wavifufue kwa gharama zao.Viliuliwa na CCM.
Umenikumbusha huyu mama aliekuwa Rais wa Sri Lanka (1994-2005) Chandrika Bandaranaike Kumaratunga.Walikwepo wanawake ambalo walitawala kwa mkono wa chuma, Bi Golda Meir wa Israel na Bandaranaike wa Sri-Lanka. Wengine waliojaribu kuwakaribia ni Indira Gandhi na Margaret Thatcher.
Kupanga ni kuchagua.Kabla ya kujenga vipya.Vya zamani vilitokomea vipi?.Na je,tunajiaminisha vipi kwamba vikijengwa vipya havitatokomea kusikojulikana kama vya mwanzo?
The bad scenario in our country is that "Every current leader is worse than the former"Tanzania ya viwanda ilikuwa na bado inabaki kama lengo jema la kukuza uchumi wetu kwa kupunguza imports na ikiwezekana kukuza exports.
Ili tufikie hapo, serikali (ofisi ya AG, hazina, wizara za uwekezaji na wizara ya viwanda) zingetengeneza financial instruments/soft financial leverage ili mkakati huo uwe halisi.
Bahati mbaya, waziri yule aliedai vyerehani 4 au machine za tofali ni kiwanda alikosa maono na mkakati mahsusi wa kufikia lengo.
Imagine nchi ndogo kama Sri Lanka yenye aneo la mraba 65,000 sqkm wanauza products za pamba (finished well designed cloths) kwenda soko la USA na EU.
Sri Lanka wanauza consumable tea ikiwamo Dilma moja ya brand 10 bora za chai duniani.
Mkoa wa Moro una eneo la 72,000SqKM.
Inatupa dhana Tz tunafanya kulimo cha mwaka '47 badala ya kufanya kilimo-biashara na viwanda vikiwa sehemu ya kuchakata mazao ghafi kwa kuwa na technology ya kisasa, mtiririko wa fedha utagusa sekta kibao kama fedha (banking, insurance and pension)
Logistics kwa magari kusafirisha raw products kwenda viwandani na kutokea viwandani kwenda bandarini kwa ajili ya exports.
Ni aibu Waziri wa fedha anawaza kodi na tozo badala ya kuja na mkakati mkubwa wa kukuza uchumi mkubwa.
Iko haja ya kuwa na think tank inayojenga mazingira ya private sector kukua kwa kuzalisha zaidi basics za soko la ndani, soko la SADC , soko la GCC watu walio jangwani na then soko la magharibi.
Napata tabu kusikia hata upanuzi wa bandari ya Tanga, debe ya kurejea kwenye drawing board ya Bagamoyo port husikii akili au mkakati kukuza uzalishaji ili kukuza exports.
Kinachosikika ni containers nyingi zitakuja toka China; containers zenyewe baadhi zina toothpick, leso, chupi, soft brooms, magunia ya kusindikia korosho, mifagio ya buibui hata nyama za ng'ombe na maziwa ya kusindika.
Uwepo wa mkakati wa kifedha ili kununua technology na know-how vingekuwa msingi wa Tanzania ya viwanda inayozalisha bidhaa, ajira na kukuza exports kwa kupunguza imports inakuwa halisi.
Tanzania ya viwanda ikitimia many of us will win; ikidoda kama sasa many amongst us are losing.
Ni aibu kusikia story graduates wa masters wanaendesha bajaji; haikuwa na maana kupeleka mtoto university then aishie kuendesha bajaji mtaani, sio sawa.
Weekend njema.
Inasikitisha sanaKupanga ni kuchagua.
Kama tuna idadi kubwa ya ng'ombe halafu wakivuka mpaka na kuingia Kenya then tuna-import nyama ya kusindika toka Kenya kisa tumeshindwa kujenga viwanda, basi akili zetu kuna pahala tumezinyima nafasi ya kufikiri na kutenda. Na kutenda huko sio rocket science.
Kama tunaendelea kuuza pamba ghafi then tuna-import vitambaa na nyuzi kwaenda EPZA then toka EPZA tuna export nguo, kuna pahala akili zetu hatujazishughulisha.
kama tunaendelea ku-import surgical cotton na surgical gauze wakati tunazalisha pamba, then inaenda india au china kisha MSD ina-import, kuna pahala hatujafikiri na kutenda vya kutosha.
Henry Ford anasema, if you think you can or you can't, you're right.
View attachment 1923694
kama tuli-fail ni sehemu ya kujifunza, maana yake next time tusifeli. Viwanda badala ya kuendeshwa na sekta ya umma, viendeshwe na sekta binafsi na kuwa na kodi rafiki ili kukuza na kuvutia uwekezaji.
Uganda tumeikomboa toka kwenye civil war 1986 kwa sisi Tanzania kumsaidia Museveni kuingia madarakani; leo Uganda ina excess ya sukari; leo Uganda wana excess ya maziwa. Uganda wanaozalisha ni private sector ila fedha zinaingia kwenye mzunguko wa Uganda.
Tz ni kubwa kwa eneo kuliko Kenye, Uganda, Rwanda na Burundi, yet tuna deficit ya sukari.
Kagame kaingia juzi 1994; leo Rwanda anauza instant coffee Ulaya; nchi yenye uchumi mdogo kuliko shirika NSSF; sisi mpaka sasa tunajivunia kwa exports ya coffee beans?
Kweli??
Anyway, acha bendera ya Taifa iendelee kupepea.
Hongera kwa hoja kuntu iliyoshiba.Sidhani kama wenye mamlaka hawajui hayo uliyoeleza.Nikionacho ni hofu ya kutoka madarakani.Nchi hii ukitokomezwa ujinga na umasikini kuna watu nyadhfa zitawatoka.Na wao hawapo radhi na hili.Hivyo imekuwa kama aina fulani ya vita hivi.Kupanga ni kuchagua.
Kama tuna idadi kubwa ya ng'ombe halafu wakivuka mpaka na kuingia Kenya then tuna-import nyama ya kusindika toka Kenya kisa tumeshindwa kujenga viwanda, basi akili zetu kuna pahala tumezinyima nafasi ya kufikiri na kutenda. Na kutenda huko sio rocket science.
Kama tunaendelea kuuza pamba ghafi then tuna-import vitambaa na nyuzi kwaenda EPZA then toka EPZA tuna export nguo, kuna pahala akili zetu hatujazishughulisha.
kama tunaendelea ku-import surgical cotton na surgical gauze wakati tunazalisha pamba, then inaenda india au china kisha MSD ina-import, kuna pahala hatujafikiri na kutenda vya kutosha.
Henry Ford anasema, if you think you can or you can't, you're right.
View attachment 1923694
kama tuli-fail ni sehemu ya kujifunza, maana yake next time tusifeli. Viwanda badala ya kuendeshwa na sekta ya umma, viendeshwe na sekta binafsi na kuwa na kodi rafiki ili kukuza na kuvutia uwekezaji.
Uganda tumeikomboa toka kwenye civil war 1986 kwa sisi Tanzania kumsaidia Museveni kuingia madarakani; leo Uganda ina excess ya sukari; leo Uganda wana excess ya maziwa. Uganda wanaozalisha ni private sector ila fedha zinaingia kwenye mzunguko wa Uganda.
Tz ni kubwa kwa eneo kuliko Kenye, Uganda, Rwanda na Burundi, yet tuna deficit ya sukari.
Kagame kaingia juzi 1994; leo Rwanda anauza instant coffee Ulaya; nchi yenye uchumi mdogo kuliko shirika NSSF; sisi mpaka sasa tunajivunia kwa exports ya coffee beans?
Kweli??
Anyway, acha bendera ya Taifa iendelee kupepea.
Kupanga ni kuchagua.

Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Hahahaaaaa ndo unavyonyamazishaga watu au siyo?.Enhee hebu nambie akinyonya hizo pipi akizimaliza huwa unafanyaje baada ya hapo mathalani na wewe pipi za kumpatia tena zimekata.Bajeti haisomi.Shhhhiiiiii shhhhiiiiii nyamaza ww.. Keep quite..!! [emoji210][emoji210][emoji210][emoji210][emoji210] nyonya pipi hizi utulie [emoji516][emoji517][emoji516][emoji517][emoji87]
Ni bora kuchochea biashara ili kupanua tax base hata kama kuna mpango wa kukaa madatakani milele, ila kuna means za ku-support development projects bila kubinya sana mifuko wa wananchi kwa kile kodogo walicho nano;Hongera kwa hoja kuntu iliyoshiba.Sidhani kama wenye mamlaka hawajui hayo uliyoeleza.Nikionacho ni hofu ya kutoka madarakani.Nchi hii ukitokomezwa ujinga na umasikini kuna watu nyadhfa zitawatoka.Na wao hawapo radhi na hili.Hivyo imekuwa kama aina fulani ya vita hivi.
Sasa hivi tuna Tanzania ya utalii!! Humuoni mama Lao yupo bize na utalii?Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Inawezekana hii sera haikuwa ya fisiemu kama fisiemu bali ya mwendazake....Nakumbuka miaka ya mwazo ya mwendazake wimbo wa viwanda uliimbwa sana na tukaambiwa mtu ukiwa vyerehani vinne basi unakiwanda.
Wakaenda mbele zaidi na kusema kila mkoa unaviwanda zaidi ya 100 (hapa figure siikumbuki vizuri ila ilikua kubwa). Na tukaambiwa mpaka mwaka jana Tz kuna viwanda zaidi ya 8400!
Sasa najiuliza je viwanda siku hizi vimeishia wapi? Mbona wanasiasa hawaimbi tena wimbo wa viwanda?
Jiwe angekuwa tayari kuimarisha mijadala chanya pamoja na kujibu hoja na maswali ya msingi, nchi hii ingeweza kujenga misingi ya kujenga TAIFA bora na kupata maendeleo ya kweli.Hyt. JPM Alituhamasisha tuongeze juhudi na budii ktk ujenzi w Viwanda... Lakini waTZ bado unapenda mjadala na kuhoji..