ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 79,360
- 154,913
wivu unawasumbua sana😀😀😀😀Wakenya sijui wana nini na Tanzania....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wivu unawasumbua sana😀😀😀😀Wakenya sijui wana nini na Tanzania....
imefeli hio wameshatangaza kua ishafeli😀😀Only BRT.
kwa hiyo na wewe ni hollow head???narudia tena English is just a language!! what matters is "the knowledge". you can take it or go with your fuckin' ignorance!!Wacheni hizi tabia za kizembe na kujiliwaza kwa kujificha nyuma hilo tamko la 'English ni lugha tu', lugha hata ukiandika Kisukuma, Kipare, Kingereza au hata Kiswahili lazima ujitahidi kuandika kwa ufasaha, sio kila siku mnaandika Kingereza kibovu na mkihojiwa mnadai kuwa English ni lugha tu.
kwa hiyo na wewe ni hollow head???narudia tena English is just a language!! what matters is "the knowledge". you can take it or go with your fuckin' ignorance!!
hata huyo muingereza mwenye lugha yake ya kiingereza anajua huyu ni mtanzania, au huyu ni mueritrea,hivyo,lugha ya kiingereza si yake,kwa hiyo kitu atakachofanya ni kutafuta keypoints ktk mazungumzo ya huyo mtanzania, ili aelewe huyo mtanzania anazungumzia nini kutokana na mazingira husika!!hatashangaa kuona mtanzania akiongea broken English..waafrika wengi wanadhani mtu akiongea english,basi huyo atakuwa kaelimika!!wrong..English is a language yes, but if you want to use it to communicate your thoughts, then make effort to learn and use it properly, and like I said earlier, it doesn't matter the language you're using, as long as your communication is well understood, concise, clear and succinct.
Sio unatuandikia vitu visivyoeleweka halafu ukihojiwa unajificha nyuma ya lugha.
wivu unawasumbua sana😀😀😀😀
hata huyo muingereza mwenye lugha yake ya kiingereza anajua huyu ni mtanzania, au huyu ni mueritrea,hivyo,lugha ya kiingereza si yake,kwa hiyo kitu atakachofanya ni kutafuta keypoints ktk mazungumzo ya huyo mtanzania, ili aelewe huyo mtanzania anazungumzia nini kutokana na mazingira husika!!hatashangaa kuona mtanzania akiongea broken English..waafrika wengi wanadhani mtu akiongea english,basi huyo atakuwa kaelimika!!wrong..
haya kila la kheri..Narudia tena, haijalishi iwe unaongea kingereza kwa Muingereza au Kisukuma kwa Msukuma, lazima ujitahidi kutumia lugha ipasavyo na kuwacha uzembe, haswa kama ni lugha uliyosomea shuleni. Mimi mwenyewe Kiswahili sio lugha yangu ya asili, ni lugha iliyobuniwa na Waarabu wakati wanabaka Waafrika wenzangu Pwani, lugha yangu ya asili ni Kikikuyu, hata hivyo najitahidi kuandika na kuongea Kiswahili ipasavyo na sijifichi nyuma ya mgongo wa lugha kila nikihojiwa.
Ninajua bado sipo sawa asilimia mia kwenye kuongea au kuandika Kiswahili, lakini najitahidi na kujaribu kila mbinu za kuboresha uandishi wangu, na haitatokea siku nijiliwaze eti kwa vile sio lugha yangu ya asili hivyo niandike pumba tu za kudhihirisha uzembe wangu.
siku zote mwenye wivu ni yule asiependa mwenzie kupata anataman apate hata kama hana uwezo wa kukipata ndio nyie munaoenda kudanganya wazungu olduvai iko kenya wakat mzungu anajua olduvai iko tanzania na ashafika hio sehem😀😀😀😀Labda sijui maana wa 'wivu'. Lakini nilidhani anayeonewa wivu ni mwenye mafanikio zaidi.
asante...jibu mwafaka kwa watu kama hawa...Wacheni hizi tabia za kizembe na kujiliwaza kwa kujificha nyuma hilo tamko la 'English ni lugha tu', lugha hata ukiandika Kisukuma, Kipare, Kingereza au hata Kiswahili lazima ujitahidi kuandika kwa ufasaha, sio kila siku mnaandika Kingereza kibovu na mkihojiwa mnadai kuwa English ni lugha tu.
wivu😀😀😀this is so ironic coming from a danganyikan...ushasahau mna import mabasi toka kenya?...zitakuwa zinakubeba kutoka kwa makaazi yako hapo tandale mpaka kwa duka la mhindi pale kariakor😀😀😀😀..wivu unawasumbua sana😀😀😀😀
watanzania hawana wivu na hawana ukabila so usijipe matumaini kabisa😀😀😀😀wivu😀😀😀this is so ironic coming from a danganyikan...ushasahau mna import mabasi toka kenya?...zitakuwa zinakubeba kutoka kwa makaazi yako hapo tandale mpaka kwa duka la mhindi pale kariakor😀😀😀😀..