Tanzania ya Viwonder... Kenya ya Viwanda

kwa hiyo na wewe ni hollow head???narudia tena English is just a language!! what matters is "the knowledge". you can take it or go with your fuckin' ignorance!!
 
kwa hiyo na wewe ni hollow head???narudia tena English is just a language!! what matters is "the knowledge". you can take it or go with your fuckin' ignorance!!

English is a language yes, but if you want to use it to communicate your thoughts, then make effort to learn and use it properly, and like I said earlier, it doesn't matter the language you're using, as long as your communication is well understood, concise, clear and succinct.
Sio unatuandikia vitu visivyoeleweka halafu ukihojiwa unajificha nyuma ya lugha.
 
hata huyo muingereza mwenye lugha yake ya kiingereza anajua huyu ni mtanzania, au huyu ni mueritrea,hivyo,lugha ya kiingereza si yake,kwa hiyo kitu atakachofanya ni kutafuta keypoints ktk mazungumzo ya huyo mtanzania, ili aelewe huyo mtanzania anazungumzia nini kutokana na mazingira husika!!hatashangaa kuona mtanzania akiongea broken English..waafrika wengi wanadhani mtu akiongea english,basi huyo atakuwa kaelimika!!wrong..
 

Narudia tena, haijalishi iwe unaongea kingereza kwa Muingereza au Kisukuma kwa Msukuma, lazima ujitahidi kutumia lugha ipasavyo na kuwacha uzembe, haswa kama ni lugha uliyosomea shuleni. Mimi mwenyewe Kiswahili sio lugha yangu ya asili, ni lugha iliyobuniwa na Waarabu wakati wanabaka Waafrika wenzangu Pwani, lugha yangu ya asili ni Kikikuyu, hata hivyo najitahidi kuandika na kuongea Kiswahili ipasavyo na sijifichi nyuma ya mgongo wa lugha kila nikihojiwa.

Ninajua bado sipo sawa asilimia mia kwenye kuongea au kuandika Kiswahili, lakini najitahidi na kujaribu kila mbinu za kuboresha uandishi wangu, na haitatokea siku nijiliwaze eti kwa vile sio lugha yangu ya asili hivyo niandike pumba tu za kudhihirisha uzembe wangu.
 
haya kila la kheri..
 
Labda sijui maana wa 'wivu'. Lakini nilidhani anayeonewa wivu ni mwenye mafanikio zaidi.
siku zote mwenye wivu ni yule asiependa mwenzie kupata anataman apate hata kama hana uwezo wa kukipata ndio nyie munaoenda kudanganya wazungu olduvai iko kenya wakat mzungu anajua olduvai iko tanzania na ashafika hio sehemπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
asante...jibu mwafaka kwa watu kama hawa...
 
et tanzania ya viwandaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€kumbe blender mbili, vyerehani vinne na vibanda ni wiwanda pia
 
wivu unawasumbua sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wivuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€this is so ironic coming from a danganyikan...ushasahau mna import mabasi toka kenya?...zitakuwa zinakubeba kutoka kwa makaazi yako hapo tandale mpaka kwa duka la mhindi pale kariakorπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..
 
wivuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€this is so ironic coming from a danganyikan...ushasahau mna import mabasi toka kenya?...zitakuwa zinakubeba kutoka kwa makaazi yako hapo tandale mpaka kwa duka la mhindi pale kariakorπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€..
watanzania hawana wivu na hawana ukabila so usijipe matumaini kabisaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…