Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Tanzania kama Mwenyeji imeambulia nafasi ya Tano kati ya Nchi Saba zilizoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki ya Riadha (EAAR), kwa Vijana wa Umri chini ya 18 na 20 yaliyoshirikisha Nchi zaidi ya Tano, na Kufanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Kwenye mashindano hayo, Tanzania imepata medali 1 ya dhahabu, Fedha 3 na Shaba 4 kwa umri chini ya 20.
Kwa upande wa umri chini ya 18, imeambulia Fedha 1 na Shaba 5.
Nchi zilizoshiriki ni Bingwa Ethiopia, Kenya, Eritrea, Sudan Kusini, Somalia, Zanzibar na mwenyeji Tanzania.