Tanzania Yaandika Sura Mpya ya Diplomasia ya Mabunge

Tanzania Yaandika Sura Mpya ya Diplomasia ya Mabunge

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
IMG-20261005-WA0010.jpg


Tanzania inaweka historia mpya katika diplomasia ya mabunge kwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaofanyika Arusha kuanzia 5–9 Oktoba 2026. Mkutano huo unawakutanisha mamia ya wabunge kutoka duniani kujadili utawala bora, ushirikishwaji, fursa na uwezeshaji wa jamii, ukiimarisha nafasi ya Tanzania katika mazungumzo na ushirikiano wa kimataifa.
 
Back
Top Bottom