Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi nilikua nadhani upinzani Tz umezikwa, ila huyo jamaa Lissu amewapa muamko mpya, sasa hivi CCM wanaweweseka na kuparamia kila kitu, wamepoteana, angalia clips za huyo Lissu na anayoyasema na kuhutubia kwa ujasiri, huku mwenzake wa CCM ameanza kutoa vitisho hadi kwa Kisukuma.
Lissu anashinda uraisi for sure Watanzania wengi wanamuamini.Usihadaike na propaganda za Jukwaa la Siasa JF, mtaani hali ni tofauti sana, CDM wakishinda hata majimbo 5 kati ya majimbo yote 264 watakuwa wamejitahidi sana, sasa huu kama ni ushindi kwako sawa?
Pole kanywe maji moyo ueleeUsihadaike na propaganda za Jukwaa la Siasa JF, mtaani hali ni tofauti sana, CDM wakishinda hata majimbo 5 kati ya majimbo yote 264 watakuwa wamejitahidi sana, sasa huu kama ni ushindi kwako sawa?
Ni Kama kipindi cha korona ukiwa mtandaoni unaweza kudhani watu wanakufa na kuanguka kila mahali ila huu upepo wa siasa za chadema uko jf na Twitter kidogo lakini ushindi wa Magufuli hautapungua 85%. Tanzania na hii mitandao Kama JF au Twitter haina ushawishi mkubwa kivile kwa watu wa chini angalau Facebook inatumika zaidi na hata wale wa hali ya chiniBinafsi nilikua nadhani upinzani Tz umezikwa, ila huyo jamaa Lissu amewapa muamko mpya, sasa hivi CCM wanaweweseka na kuparamia kila kitu, wamepoteana, angalia clips za huyo Lissu na anayoyasema na kuhutubia kwa ujasiri, huku mwenzake wa CCM ameanza kutoa vitisho hadi kwa Kisukuma.
Urais wa wasafiLissu anashinda uraisi for sure Watanzania wengi wanamuamini.
Pole kanywe maji moyo uelee
Cdm inaenda kuongoza majimbo mengi mno. amna mbeleko itawabeba asaiv mmezoe vya kunyonga kila siku asaiv ni jino kwa jino amna cha polisi wala mkurugenzi anaewabeba
Acha kuota lisu hana uwezo wa kuwa rais wa nchi kama Tanzania.Tanzania sio nchi ya ovyo kuwapa watu wa ovyo uraisiLissu anashinda uraisi for sure Watanzania wengi wanamuamini.
Hamna jipya mkuu lala tuNgoja nipachike neti kwanza
Walimpamba membe mitandaoni...membe akasema yees...sasa hivi kwenye kampeni zake wale waliokuwa wanampamba wala hawaonekani.Ni Kama kipindi cha korona ukiwa mtandaoni unaweza kudhani watu wanakufa na kuanguka kila mahali ila huu upepo wa siasa za chadema uko jf na Twitter kidogo lakini ushindi wa Magufuli hautapungua 85%. Tanzania na hii mitandao Kama JF au Twitter haina ushawishi mkubwa kivile kwa watu wa chini angalau Facebook inatumika zaidi na hata wale wa hali ya chini
Watanzania gani? Huyu anayesema Tanzania corona imejaa na inaua watu wengi lkn yeye hana social distance, havai barakoa wala hasanitize? Never in TanzaniaUsihadaike na propaganda za Jukwaa la Siasa JF, mtaani hali ni tofauti sana, CDM wakishinda hata majimbo 5 kati ya majimbo yote 264 watakuwa wamejitahidi sana, sasa huu kama ni ushindi kwako sawa?
Tuombeeni Mungu atuondolee hii taabu iliyotutesa miaka 5Binafsi nilikua nadhani upinzani Tz umezikwa, ila huyo jamaa Lissu amewapa muamko mpya, sasa hivi CCM wanaweweseka na kuparamia kila kitu, wamepoteana, angalia clips za huyo Lissu na anayoyasema na kuhutubia kwa ujasiri, huku mwenzake wa CCM ameanza kutoa vitisho hadi kwa Kisukuma.
😂😂 Mkenge alioingizwa membe ni wa kiwango cha SGR, yaani uchaguzi huu itakuwa funga kazi maana Magufuli akipata chache sana ni 85%, Lisu hata wanachama wa chadema hawampi sembesu wale neutral ambao ndio wengi zaidi. Saikolojia ya watanzania ipo kwenye kuwaza amani ndio maana linapokuja suala la uhakika wa amani CCM ndio inapowawini wapinzani. endapo upinzani ungemantain viongozi wazee na wenye busara kuanzia lowasa, slaa, Baregu, arfi said na wengineo hakika nchi hii wangipata bila hivyo watachelewa sana maana hata vijana wakianza majukumu akili zina anza kuikubali CCMWalimpamba membe mitandaoni...membe akasema yees...sasa hivi kwenye kampeni zake wale waliokuwa wanampamba wala hawaonekani.