babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Wale wanaharakati uchwara wa kule twitter na jukwaa la siasa walimjaza maneno kibao lakini sasa hivi hawana habari nae tena wengine wanamshahuri aachane na kampeni na ajitoe kwenye kugombea urais.[emoji23][emoji23] Mkenge alioingizwa membe ni wa kiwango cha SGR, yaani uchaguzi huu itakuwa funga kazi maana Magufuli akipata chache sana ni 85%, Lisu hata wanachama wa chadema hawampi sembesu wale neutral ambao ndio wengi zaidi. Saikolojia ya watanzania ipo kwenye kuwaza amani ndio maana linapokuja suala la uhakika wa amani CCM ndio inapowawini wapinzani. endapo upinzani ungemantain viongozi wazee na wenye busara kuanzia lowasa, slaa, Baregu, arfi said na wengineo hakika nchi hii wangipata bila hivyo watachelewa sana maana hata vijana wakianza majukumu akili zina anza kuikubali CCM