Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

Wale wanaharakati uchwara wa kule twitter na jukwaa la siasa walimjaza maneno kibao lakini sasa hivi hawana habari nae tena wengine wanamshahuri aachane na kampeni na ajitoe kwenye kugombea urais.
 

Wapi nimetaja JF.
Sema mlivyo mabingwa wa bao la mkono kama jinsi huwa mnajinadi, inawezekana mkashinda, ila kwa Lissu alivyo mjasiri, raundi hii mbinu zozote hizo zinaweza kuwatokea puani, jamaa mlimuondoa kwa marisasi na alivyo chizi alikubali kurudi huko huko tena kwa kugombea urais.
Ingelikua muoga kama mimi nigeishi huko kwa Wabelgiji na kuisaha Afrika milele.
 
Lisu anaushawishi kwa watu wachache wasio na maono wala usidhani watanzania hawaoni anachokifanya. Tokea amekuja amejaribu kwa kila mbinu ili asababishe fujo ili serikali imekuwa makini na wajanja zaidi kwa puuza azma yake lakini nakuhakikishia akiendelea hivyo atakacho kipata kitakua historia maana watachakazwa kwelikweli.
MK254 wewe unaweza kumchagua Rais asiye na maono yaani yeye ni kupinga yale yalifanywa na mwenzake bila kueleza yeye atafanya Jambo gan?
 
lissu hana tofauti na Miguna Miguna,kelele na amsha amsha nyingi tu ili uchaguzi unoge,subiri matokeo tu
 
You are on point.
Mange alitisha zaidi ya kigogo!
Mange alikuwa hata hajifichi. Lakini kilichotokea hakuamni.. Makamanda wa kwenye Twitter/JF/ Insta ndio hao tu.. Labda elf 10 ama 20 wanaleta sana Fujo mtandaoni...
Hata corona walishasema sana.. Magu akawaangalia akasema hiiiii!!!!
Na hii inanifanya nisiwe na imani na CHADEMA. Mpaka sasa wanacheza ngoma ya magu kwenye Korona kimya kimya...
Duuuh
 
Hakika
Ccm wamevurugwa
 
Usihadaike na propaganda za Jukwaa la Siasa JF, mtaani hali ni tofauti sana, CDM wakishinda hata majimbo 5 kati ya majimbo yote 264 watakuwa wamejitahidi sana, sasa huu kama ni ushindi kwako sawa?
Kitu unachoshindwa kuelewani kwamba wengi wanamsapoti Lissu SEMA wanakgopa kujionyesha kutokana na hali ya sasa ya kisiasa, na wengine wanajifanya ccm hasa watumishi kwa ajili ya kulinda nafasi zao
 
Tuliwaambia tz tamu yahee uwezi fananisha na usa hiyo ubegiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…