Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ๐ฎ๐ป๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฒ๐ป๐ด๐ฒ๐ป๐ฒ๐๐ฎ ๐ก๐ฑ๐ฒ๐ด๐ฒ ๐๐ฎ๐ธ๐ฒ
Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane Africa limited (AAL) kinachotengeneza ndege ndogo aina ya Sky leader 600 mkoani Morogoro.
Kiwanda kilianza kazi rasmi mwaka 2024 na hadi kufikia januari 2025 kimefanikiwa kuunda Ndege 5 tayari ambazo zenye uwezo wa kubeba Abiria Wawili.
Uwekezaji wa kampuni hiyo kutoka Jamhuri ya Czech umechangiwa na juhudi za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan chini ya Falsafa ya 4R.
Kwa afrika ni nchi mbili tu ndo zinatengeneza ndege zake zenyewe ya kwanza Afrika Kusini ikifuatiwa na Tanzania hivyo unaweza kuona vile nchi Yetu inavyozidi kupiga hatua katika maendeleo.
Ndege hizo kwa sasa zinaweza kutumika katika kilimo, kufanya utafiti ulinzi pamoja na utalii.