Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Wangepatumia hapo hapo MonduliChuo cha Jeshi Monduli kazi yake ni ipi? Serikali ikwezeshe kwa HIMARS kama 50 na makombora ya kutosha kazi iendelee badala ya kufungua vyuo vipya kwa majukumu yale yale.
Tena kina pori la kutosha kabisa.Wangepatumia hapo hapo Monduli
Kwanini tuwekeze katika vita na si katika amani? Kwanini tusiwekeze kwenye diplomasia na mapatano? Intelligence nk?Tanzania inaweza kuwa na Chuo cha Kivita ambacho kitakuwa kinafundisha masuala ya kivita kwa maafisa wakuu wa jeshi.
Kwa sasa Tanzania inapeleka wanajeshi wake nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza masuala ya kivita lakini kutokana na umuhimu wa vita Tanzania itakuwa na War Collage
Hayo yamesemwa katika maadhimisho ya miaka kumi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi(NDC) yaliyohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan
Kodi ni yako ila sio kila kitu unachoona unastahili utafahamu.Hivi tunatumia bajeti kiasi gani kwa wizara ya ulinzi?hivi mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali huwa anakagua matumizi ya wizara hii na idara zake?,ni kodi yangu ninayo haki ya kujua
Hiyo ni mikakati ya Jeshi. Kwako hilo ndio jukumu la Jeshi? Kuanzisha vyuo vya sayansi na teknolojia? Hiyo kazi ya wizara yatu ya Sayansi na elimu ya juu na wametoa nikakati yao kwenye bajeti ta 2022/23 ya ujenzi wa vyuo. Toka Uhuru maafisa wetu jeshini wanapelekwa nje ya nchi kwa mafunzo ya kivita, Vita ya leo pia ni ya Tekinolojia wanataka kujikwamua na hilo inakuwa nongwa? Kama ni viwanda vya kijeshi tayari wanavyo na wanaunda hata magari na silaha za vita.Badala ya kuanzisha vyuo vingi vya Sayansi na teknolojia, na uhandishi wa mitambo ili kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda, miundombinu, nk!!!
Wanaazimia kuanzisha chuo cha kivita!!
Ili kisaidie nini? Watu kuendelea kuuana kwa bunduki na mabomu?
Hii haikaguliwi kbs!Hivi tunatumia bajeti kiasi gani kwa wizara ya ulinzi?hivi mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali huwa anakagua matumizi ya wizara hii na idara zake?,ni kodi yangu ninayo haki ya kujua
Why?Hii haikaguliwi kbs!
Welcome to police state, uzuzu wa working class ni wa kiwango cha juuKodi ni yako ila sio kila kitu unachoona unastahili utafahamu.