Tanzania yaazimia kuwa na Chuo cha Vita

Tanzania yaazimia kuwa na Chuo cha Vita

Sifa ndio vifaru vyenu vya WWII na makomando wenu kuvunja tofali kwa matako ndio nini,sasa ni mwendo wa sayansi na teknolojia
1. Una umri wa miaka mingapi ?

2. Umepata mafunzo ya jeshi la kujenga taifa [ JKT ] ?

3. Una akili timamu ?
 
Tanzania inaweza kuwa na Chuo cha Kivita ambacho kitakuwa kinafundisha masuala ya kivita kwa maafisa wakuu wa jeshi.

Kwa sasa Tanzania inapeleka wanajeshi wake nje ya nchi kwa ajili ya kujifunza masuala ya kivita lakini kutokana na umuhimu wa vita Tanzania itakuwa na War Collage

Hayo yamesemwa katika maadhimisho ya miaka kumi ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi(NDC) yaliyohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan
itapendeza
 
Daaa ama kweli waTanzania wengi akili bado ni takataka.

Kwa dunia ya leo mtu anayepingana na wazo la mada hii, huyo hana akili.

Ulinzi, uimara wa jeshi, technolojia, mafunzo makubwa na nyenzo za kisasa hivi ndivyo vinaipa nchi nguvu na heshima pia uwezo wa kulinda raia na rasilimali zake.

Haiwezekan upigane na magaid kama nyenzo zako ni zakipuuzi ama mafunzo ya wajeshi ni ya hovyo.

Tuendako dunia inazid kuchafuka, makundi ya waovu mengi yanazaliwa, bila kusahau migogoro ya majiran muda wowote inaweza tokea, wew mwananchi na njaa zako zisikufanye uone hii nchi iko salama sana au haina wa kuifuatilia, ni bora ukatulia tu maana kuwa watu hawalali wanahangaika hawa ndio wanawapa JEURI wapumbavu wachache wasiojua umuhimu wa mafunzo ya vita kwa nchi.

Kama nchi imechelewa sana kuwa na hili jambo, imechelewa mnoo, hata bajeti yake ilipaswa iwe kubwa, bila kusahau vijana wajuzi wa technologies walitakiwa kukusanywa maana hawa ndio TUNU ya mabadiriko ya uimara wa nchi.


Jaman hata kama elimu ya darasani iliwashinda basi jitahidi hata kufuatilia habari za kidunia jinsi mambo yanavyokwenda, kulko kuleta ushabiki wa kitoto na kipumbavu
 
Back
Top Bottom