T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hiyo sio kazi ya Wizara ya Ulinzi, mfumo wetu hauko hivyo. Utaanza kuuliza kwanini BASATA isianzishe miradi ya ufugaji wa mabataBadala ya kuanzisha vyuo vingi vya Sayansi na teknolojia, na uhandishi wa mitambo ili kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda, miundombinu, nk!!!
Wanaazimia kuanzisha chuo cha kivita!!
Ili kisaidie nini? Watu kuendelea kuuana kwa bunduki na mabomu?
Good question mkuuKwanini tuwekeze katika vita na si katika amani? Kwanini tusiwekeze kwenye diplomasia na mapatano? Intelligence nk?
If you want peace, prepare for a war. Nchi zote zenye uchumi na maliasili huwa zinahangaishwa kama hazina ulinzi. China iliendeshwa na Britain na Marekani kwenye opium war ikaja Japan ikajiamulia tu eneo kubwa la China ni lao. Walivyochomoka hapo Wachina wakajua bila ulinzi huwezi kuwa na amani hata siku moja.Kwanini tuwekeze katika vita na si katika amani? Kwanini tusiwekeze kwenye diplomasia na mapatano? Intelligence nk?
Kwa Sababu kwa Dunia hii vita haikwepekiKwanini tuwekeze katika vita na si katika amani? Kwanini tusiwekeze kwenye diplomasia na mapatano? Intelligence nk?
Sio kweli mkuu,Mauritius wapo Safi na hawajawekeza sana kijeshi, Botswana wapo Safi,Namibia wapo Safi na sasa shining star ya SADC ni Zambia 🇿🇲, currency yake imekuwa ndio bora na sasa bidhaa nyingi zimeshuka bei ,Tanzania unahitaji F-35s unataka kupigana na nani?If you want peace, prepare for a war. Nchi zote zenye uchumi na maliasili huwa zinahangaishwa kama hazina ulinzi. China iliendeshwa na Britain na Marekani kwenye opium war ikaja Japan ikajiamulia tu eneo kubwa la China ni lao. Walivyochomoka hapo Wachina wakajua bila ulinzi huwezi kuwa na amani hata siku moja.
Bila kutumia hela huwezi zitafuta, bila kutafuta huwezi zitumia. Kila kitu na umuhimu wake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vita vya Sasa hivi ni teknolojia sio kupasua matofali
Wapi wamesema wanataka kununua F-35, nani akuuzie wakati zile ni Joint Strike Fighter.Sio kweli mkuu,Mauritius wapo Safi na hawajawekeza sana kijeshi, Botswana wapo Safi,Namibia wapo Safi na sasa shining star ya SADC ni Zambia 🇿🇲, currency yake imekuwa ndio bora na sasa bidhaa nyingi zimeshuka bei ,Tanzania unahitaji F-35s unataka kupigana na nani?
Hakuna taifa lisilo taka kujilinda, hata Vatican Pope ana jeshi la ulinzi la kanisa, Macca kuna askari maalumu misikitini walio na silaha . Ulinzi wa taifa kwanza diplomacy baadae.Kwanini tuwekeze katika vita na si katika amani? Kwanini tusiwekeze kwenye diplomasia na mapatano? Intelligence nk?
Badala ya kuanzisha vyuo vingi vya Sayansi na teknolojia, na uhandishi wa mitambo ili kufanya mapinduzi makubwa katika viwanda, miundombinu, nk!!!
Wanaazimia kuanzisha chuo cha kivita!!
Ili kisaidie nini? Watu kuendelea kuuana kwa bunduki na mabomu?
Hiki chuo kipo wapi?Na ulinzi gani zaidi ya mafunzo ya kijeshi?Wangechukua madaraka kwa niaba ya wananchi ningefurahi Sana ilimradi ccm iwe out
Kile Cha Munduli kinafundisha Nini[emoji847]Hakuna taifa lisilo taka kujilinda, hata Vatican Pope ana jeshi la ulinzi la kanisa, Macca kuna askari maalumu misikitini walio na silaha . Ulinzi wa taifa kwanza diplomacy baadae.
Naomba ufafanuzi chuo Cha Munduli , kunduchi ,msata nk. Vinafundisha Nini [emoji847][emoji847]Wapi wamesema wanataka kununua F-35, nani akuuzie wakati zile ni Joint Strike Fighter.
Na kuanzisha chuo sio kununua silaha, chuo kinaenda fundisha maofisa ambao wanaenda kufundishwa nje. Hakiji kufanya kitu kipya ambacho hakipo hapa nchini, hao maofisa wapo ila kikijengwa chuo hapa kuna ubaya gani.
Mnajua Wizara husika ya NDC na hiyo proposed college? Hiyo wizara sio kazi yake kujua monetary & fiscal policy. Kila wizara ifanye kazi yake ama kama tunaona ulinzi ni upuuzi tufute JWTZ tuishi na magaidi na maharamia ili "uchumi ukue" kama Mauritius. Unailinganishaje Mauritius na sisi wakati wao wana mahusiano na France jirani yake pale Reunion islands, na wana mikataba. Kesho utaanza kujilinganisha na Vatican ambayo haina ulinzi ila huzingatii kuna nini baina yao na Italy, siku nyingine utaisema Swaziland na Lesotho bila kuzingatia kuna South Africa.
Mbona hatujasema tufute vyuo vya udaktari ili wakasome nje. Kujenga chuo cha kijeshi inataka kuleta ugomvi
Naomba ufafanuzi vyuo vya KCMC, Bugando, Muhimbili vinafundisha niniNaomba ufafanuzi chuo Cha Munduli , kunduchi ,msata nk. Vinafundisha Nini [emoji847][emoji847]
Tanzania Military Academy [ TMA ] , jeshini kuna course mbalimbali. TMA sio special kwa kufundisha millitary war & operation.Kile Cha Munduli kinafundisha Nini[emoji847]
CAG Haruhusiwi Hata Kupita Nje Ya Hilo Eneo Sembuse KukaguaHivi tunatumia bajeti kiasi gani kwa wizara ya ulinzi?hivi mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali huwa anakagua matumizi ya wizara hii na idara zake?,ni kodi yangu ninayo haki ya kujua
Unajua kazi ya jeshi ni nini ?eti chuo cha vita.
wekeza kwenye teknolojia tu na kufundisha watu technolojia, kupitia technolojia utailinda nchi kwa zaidi ya 60%, lakini pia technolojia hiyohiyo italeta faida nyingine kwa watu wako.
Wewe ni MTANZANIA ?Mliwahi kupigana na nani mkashinda
Kwa hiyo marekani, Uingereza , Ufaransa ni nchi za kikomunisti ?Yaani hii Nchi bila kubadilisha kikundi hiki Cha mumiani ili kuingiza watu wenye fikra mpya hakika tutakuwa Nchi ya makumbusho ya fikra za kikomunisti za kikale....
Chuo Cha Vita[emoji847]