Tanzania yaazimia kuwa na Chuo cha Vita

Mkuu humu jf na taifani kwa ujumla tuna vijana wengi wajinga, wapumbavu na malaya malaya wamenikera sana kwenye huu uzi jinsi wanavyo changia upumbavu kwenye vitu vya msingi kwa taifa. Mpaka napata mashaka kama kweli hawa vijana wamepitia mafunzo ya jeshi la kujenga taifa [ JKT ] wafahamu kidogo hata umuhimu wa jeshi imara katika medani zote hasa hasa za kivita . wana lala usiku na Malaya zao na kuamka asubuhi salama hawajui kuwa kuna wanaume wapo macho wanapigwa na baridi kuwa Linda wao . Vijana hawa hawajui hata kazi ya jeshi ni nini ? . Sisi Kama taifa tuna zalisha aina ya watu wapumbavu sana mfano vijana wengi wa humu Jf.
 
Kabisa.......mataifa makubwa wakitutumia kama fursa ya kuuza silaha zao, sisi tunapigana wenyewe kwa wenyewe. Ujinga.
Nani kakutumia upigane, kataka upigane na nani?
Nani kakulazimisha ununue silaha, lini?

Umeulizwa vipi una akili kichwani
 
Chuo cha nini wapeleke watu Ukraine huko wakajifunze hivyo vitambi mnavyopiga kelele vitaisha wiki moja tuu..ilitakiwa jeshi litumike kubuni technology za kisasa vitani au kujikita na kilimo na kufundisha vijana na kuwalipa kuliko kuchezea fedha za kuwa na chuo cha kivita Nchi yenyewe masikini hii kila kukicha mnaitafutia sababu ya kuitafuna..
 
eti chuo cha vita.

wekeza kwenye teknolojia tu na kufundisha watu technolojia, kupitia technolojia utailinda nchi kwa zaidi ya 60%, lakini pia technolojia hiyohiyo italeta faida nyingine kwa watu wako.
Sahihi kabisa
 
Nani kakutumia upigane, kataka upigane na nani?
Nani kakulazimisha ununue silaha, lini?

Umeulizwa vipi una akili kichwani
Hii nguvu zote ulizotumia kutoa povu zote hizi unge-reserve ingekusaidia. Usilete frustration zako humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…