Tanzania Yachomoa Kusaini Mkataba wa EPA

Refusing to sign the agreement simply because TZ is a LDC country and woun't be taxed anyway is being very myopic. I believe that TZ aspires to achieve middle income status in the new future. Then what happens then? Or the delay tactics will be applied till middle income status is achieved?
 
Iwe middle income au upper income. Sisi huo mkataba hatuutaki. Simple and clear. Go ahead with them.
 
Huu mkataba wa EPA unafanana na kesi za mapacha "walioshikana"?. Maana huwezi kupeleka moja chooni mwingine akabaki . Ndivyo ilivyo kwa nchi zote za East Africa kwamba lazima wote wawe wametia signature ndo mkataba wa EPA utambuliwe kuwa sahihi na kuhesabiwa umekamilika? Sasa Tanzania itapelekwa .......... hata kama haijisikii?
 
Kwa mwafrica mwenye kuona mbele ambaye hatongozeki hawezi kukubali huu uhuni. Wazungu wameshakaa wanataka tuwe maskini wa kufa kabisa. Jamani ukiwaachia kuingia bila kodi maana yake wataangamiza nchi. Ukisaini maana yake itafika kipindi serikali itabaki haina hata shilingi moja maaana hawa jamaa wana uwezo wa kuproduce kila kitu na vikiingia sokoni bila ushushuru maana yake serikali watakuwa dependant na hapo ndio mwanzo wa wazungu kicheza na wewe wakikuambia geuka nyuma utageuka tu. Waliosaini ni wajinga sana wana fikra fupi sana kama mtu anaangalia industry moja tu ya mauwa anafikiri mauwa ndio yanawalisha wakenya? Halafu uliza kama hayo mauwa yanalimwa na wakenya pekee la hasha utakita wazungu wenyewe ndio wanaolima hayo maua. Miafrika mingine ni kufyekelea mbali haina faida duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…