Tanzania Yachomoa Kusaini Mkataba wa EPA

Tanzania Yachomoa Kusaini Mkataba wa EPA

Ninaweza kukubalina na wewe kuhusu sisi mwishowe kusaini lkn sababu siyo hizo ulizozielezea, bali sababu ni kwamba Wazungu wanashinikiza nchi zinazoendela kusaini EPA na hiki ndicho kilichotokea Kenya, kwa maana Kenya mara ya kwanza walikataa kusaini wakatishiwa na kushinikizwa wakaufyata, sasa hata Rwanda na Uganda ambao mwanzoni waligoma pia wametishiwa na Wazungu hivyo nina wasi wasi na Tanzania yetu pia shinikizo litakuwa kubwa sana kwa Serikali yetu na mwishowe wakasaini kwani kuna sababu kwa nini Kagame na Museveni wako Dar sasa hivi ikumbukwe kwamba hawa ni vibaraka wakubwa sana wa Wazungu, hivyo wanaweza kumtisha Raisi Magufuli kuanzia Museveni kusitisha Bomba la Mafuta mpaka Rwanda kujitoa kwenye SGR project yetu yote haya yanawezekana!

Lakini swali langu, ni kwa nini Wazungu wanshinikiza nchi kusaini kama kweli ni jambo jema kwetu? Ni kwa nini sisi wenyewe tusione kwamba ni jambo jema na kuamua kusaini? Ni kwanini watulazimishe?
Inabidi tufanye kampeni kabambe mtandaoni kuhakikisha hao jamaa watakaokuja kumshawishi rais asaini mkataba huo wa EPA wanakataliwa. Ni dharau mtu kukufata akushawishi kitu usichokitaka huku akiamini kwa akili zake atakushawishi hadi ukubali. Rwanda na Uganda hawana hadhi ya kukaa na sisi meza moja kana kwamba Tanzania ni level ya hizo nchi. Changamoto zinazoikabili Tanzania haziwezi kufanana na hizo nchi kamwe. Rwanda inakabiliwa na uhaba wa ardhi ya kujenga makazi, kilimo yfugaji na hata maeneo ya uvuvi, kwahiyo wanachotaka ni kuifanya nchi yao iwe ya kibiashara tu. Kwahiyo wanahitaji ardhi ya kilimo kutoka nje ya nchi yao, wafanye kilimo na kupeleka chakula kwao. Usisahau over population density(msongamano wa watu) unaitesa rwanda ndio maana kwenye kila kinachoitwa fursa lazima wajitokeze mbele kwa sababu wanajua wao hawana cha kupoteza kwa kuwa wanajua hata watanzania wakienda rwanda hawatapata fursa kama ambazo wao wangeweza kuzipata Tanzania.

Hizo nchi mbili za uganda na rwanda ni za kuwa na mahusiano nazo kwa umakini. Kuna kitu wanatafuta.
 
EPA haina nia njema kwa nchi zetu za kiafrika, wanataka kupata faida zaidi na kututawala kibiashara, hatutaweza kamwe kupeleka bidhaa zetu EU na zikapata soko unlike their products when they hit our markets, up to this moment we cannot compete with them, no one will ever choose african products over EU products in Europe, and i will definitely choose EU product over Azam product if the are available kwa same price, never

Kama tunataka nchi ya viwanda huu siyo mkataba wa kusaini labda kama tunataka kuendelea kama masharobaro kwa kujiweka kisasa kwa kununua tuu
 
Niko namuangalia Rais Magufuli. Yeye ndio mwenyekiti wa hawa wakuu wa nchi.

Ameamua kutumia lugha yetu pendwa ya Kiswahili kwenye kikao.Kwa kweli ananifurahisha !

TBC wako live
========

Kikao kinafanyika sasa hivi viwanja vya Ikulu chini ya Mwenyekiti Rais wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli.

Miongoni mwa mambo yanayojadiliwa ni;
1.Sudani kusini kukaribishwa Rasmi katika Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
2.Mgogoro wa Sudani Kusini
3.Mkataba wa EPA

Rais Magufuli sasa anadadafua kuhusu mkataba huu wa EPA ambao umekuwa gumzo kubwa ndani ya nchi yetu.

=> Mambo yanayoleta msuguano kusaini makubaliano ya kiuchumi kati ya EU na EAC:

1. Jinsi jumuiya inavyoweza kulinda viwanda vya ndani.

2. Ni jinsi gani Jumuiya ya Afrika Mashariki itaweza kujiuzuia isigeuzwe soko la bidhaa za kilimo kutoka Ulaya.

3. Ni njia gani itatumika kukusanya mapato ya bidhaa zinazoingia kutoka nje.

4. Kujitoa kwa Uingereza EU, kutaathiri vipi mkataba huo.

5. Kwanini Burundi isaini makataba wa EPA wakati imewekewa vizuizi vya biashara (embargo) na Uingereza.

6. Kwanini Uingereza ilijitoa ndani ya EU alafu watake kuja kufanya biashara na EAC.

7. Suala la ushuru wa forodha nalo ni kizuizi.

Kama maswali haya yatapatiwa majibu, tutakutana tena mwezi Januari 2017, kusaini mkataba wa EPA- M/kiti wa EAC

M/kiti wa EAC Rais Dkt Magufuli ameiomba Jumuiya ya Kimataifa kuendelea kutoa msaada nchini Burundi ili kurejesha amani ya nchi hiyo.

-Wakuu wa nchi za Afrika Mashariki wamejipa miezi mitatu kuendelea kuutafakari mkataba wa EPA.

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee,waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980 , Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji,Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
East African Bloc Says Three Months Needed for EU Trade Pact
Joseph Burite
September 8, 2016 — 2:59 PM CEST
Share on FacebookShare on Twitter

Share on FacebookShare on Twitter
Share on LinkedInShare on RedditShare on Google+E-mail
The six-nation East African Community bloc said it would deliberate over a free-trade agreement with the European Union for three months before committing to a treaty that should be in place before October.

“We have considered all the issues on EPA and we have given this issue another three months until January so that we can come up with a solution,” Tanzanian President John Magufuli said after a regional summit in Dar es Salaam, the commercial capital of Tanzania.

The countries have been negotiating the so-called Economic Partnership Agreement, or EPA, with the European Union since 2002, a reciprocal pact that will extend their duty- and quota-free access to the bloc, while opening up their economies. The EAC groups Kenya, Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi and South Sudan.

While Rwanda and Kenya have already initialed the treaty, all other nations are required to commit to the deal for it to take effect. Kenya is the only nation that stands to lose access to Europe because it isn’t grouped among the Least Developed Countries. The others can continue exporting to the bloc under a separate Everything But Arms treaty for LDCs.

East African Bloc Says Three Months Needed for EU Trade Pact

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980 , Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Kenya urges regional states to sign trade deal with EU
Thursday September 8 2016

email print

rutotz.jpg

Tanzania President John Pombe Magufuli welcomes Kenya's Deputy President William Ruto to the EAC Heads of State and Government Summit in Dar es Salaam on September 8, 2016. PHOTO | DPPS

In Summary
  • Kenya’s Deputy President William Ruto met three Heads of State and a Burundian Minister in Dar es Salaam, Tanzania on Thursday, to convince Tanzania and Burundi to sign the Economic Partnership Agreement (EPA).
  • Mr Ruto represented President Uhuru Kenyatta at a summit that was to agree on the way forward for signing, ratification and implementation of the East African Community (EAC) –European Union (EU), Economic Partnership Agreement.
Advertisement

general+picture.jpg

By BRIAN MUREITHI
More by this Author
avatar1.jpg

By DPPS
More by this Author
Kenya has appealed to other East Africa states, especially Tanzania, to endorse a regional trade deal with the European Union that will allow the region’s exports to the European market tax free.

Kenya’s Deputy President William Ruto met three Heads of State and a Burundian Minister in Dar es Salaam, Tanzania on Thursday, to convince Tanzania and Burundi to sign the Economic Partnership Agreement (EPA).

Mr Ruto represented President Uhuru Kenyatta at a summit that was to agree on the way forward for signing, ratification and implementation of the East African Community (EAC) –European Union (EU), Economic Partnership Agreement.

Tanzania president John Pombe Magufuli, Uganda’s Yoweri Museveni, Rwanda’s Paul Kagame and Burundi’s Minister for External Relations and International Cooperation Ambassador Alain Aime Nyamitwe attended the 17th Extra-ordinary Summit of EAC Heads of State.

The agreement allows the EAC to export its products, mainly flowers and perishable goods to the EU without attracting any tax.

It also provides duty free and quota free market access to all EAC exports to the EU.

Related Content
Kenya has been on a charm offensive to try to have the agreement signed by the EAC member states.

Mr Ruto said the agreement had given the EAC a lot of credibility and had assisted the region to attract investments.

He said backtracking on the agreement would erode the credibility the region has built over the last 20 years.

“This will negatively affect prospective trade arrangements with other countries,” he said.

He said EPAs had given the region a strong position in trade negotiations.

He argued that it would be dangerous for the region to adopt different trade regimes by failing to sign EPAs when it is easy to engage any partners as a bloc.

Kenya and Rwanda had signed the trade deal in Brussels last week while Uganda, which had indicated willingness to sign it today, urged Tanzania and Burundi to sign too.

Tanzania has reneged on the deal arguing that it was analysing it while Burundi got furious after European countries slapped an aid embargo on the country following its disputed elections and subsequent violence.

Tanzania had also said that it would be scouting for her own industrial prospects.

On Wednesday, Tanzania said it will not enter into an agreement with the EU and urged other EA states to delay the signing to allow for time to dsicuss on the effects of the deal on the region’s manufacturing sector.

The signing of the EPAs by Kenya and Rwanda and soon Uganda, however, does not mean the full agreement is ready for implementation. It will only come into effect when all EAC partner states sign and ratify it.

The EPA recognizes EAC as one party, which have to act collectively. It does not give partner states the flexibility to engage the EU under the EPAs individually.

East African Principal Secretary Betty Maina had prior to the summit indicated that Kenya may drop the two countries to resolve the deadlock.

The agreements must be signed before October 1 this year.

However, in July, the EU members of parliament had said they would push for an extension of the deadline to let Kenya lobby her neighbours to sign the deal.
Kenya rallies regional states to sign trade deal with EU

Museveni attends EAC summit in Tanzania
By Vision Reporter

Added 8th September 2016 12:11 PM

Fill in your Name and Email Address to receive a Free Newsletter
The two-day summit will, among other things, receive and discuss a report on the dialogue in Burundi.

President Yoweri Museveni being led by Tanzania President Dr. John Pombe Magufuli at State House Dar-es- Salaam ahead of the EAC summit. (Credit: PPU)

DAR-ES-SALAAM - President Yoweri Museveni is in the Tanzanian capital of Dar-es-Salaam for the 17th Extra-ordinary Summit of the East African Community Heads of State that is slated for today.

The two-day extraordinary summit of the East African community will, among other things, receive and discuss a report on the dialogue in Burundi and the security situation there and also discuss a report on South Sudan.

The Summit is also set to receive a report of the East African Council on the European Union-East African Community partnership agreement. Shortly after his arrival, President Museveni headed to State House, Dares- Salaam, where he was received by President John Pombe Magufuli.

The two leaders held talks, according to a statement issued from State House.

musevenimagufuli1-700x506.jpg

At Julius Nyerere International Airport Dar-es- Salaam, Museveni was received by, among others, the Tanzanian minister of finance Phillip Mpango; Uganda’s Second Deputy Prime Minister and Minister for East African Affairs Kirunda Kivejinja; state minister for regional affairs Philemon Mateke; Uganda’s high commissioner to Tanzania Dorothy Hyuha and Tanzanian government and security officials.

The President was also treated to a red carpet welcome and inspected a guard of honour mounted by the Tanzanian Police Force.

Both South Sudan and Burundi have been torn apart by violent conflicts. The regional states have been working to end the conflicts in the two states.

Since last year, there have been talks aimed at finding a solution to the political crisis in Burundi.

Museveni was selected by the third extra ordinary summit of the East African Community Heads of State on July 6 last year to mediate in the talks aimed at ending the crisis in Burundi.

musevenimagufuli3-700x467.jpg

h

musevenimagufuli2-700x472.jpg

President Museveni and Tanzania President Magufuli with Tanzania Foreign Affairs minister Dr. Augustine Mahiga (extreme right) and Minister for Finance and Planning Dr. Philip Mpango (extreme left) at State House Dar-es-Salaam

Museveni attends EAC summit in Tanzania

EAC leaders meet today in Tanzania

President Kiir recently accepted the deployment of 4,000 additional UN peacekeepers

Thursday September 8 2016

latest01pix.jpg

President Museveni (L) being received by President John Pombe Magufuli of Tanzania yesterday. PPU Photo

Advertisement

By Stephen Kafeero
Kampala- President Museveni will join other East African Community leaders later today in Tanzania, to discuss the on-going Burundi and South Sudan crises during the17th Extra-Ordinary East African Community Summit in Dar es Salaam, Tanzania.

President Museveni arrived in Tanzania on Wednesday and held a meeting with the host; President John Pombe Magufuli, ahead of the summit.

South Sudan President Salvar Kiir is expected for the first time, to attend an EAC meeting representing Africa’s youngest country.

On Monday, South Sudan became a full EAC member after “depositing the instrument of ratification with the Secretary General of the EAC”. South Sudan now has “full and equal rights, obligations and privileges” as an EAC member.

Agenda

The summit will among others, according to the official agenda released by the EAC secretariat be considering the EAC Council of Ministers Report on European Union (EU)-EAC Economic Partnership Agreement.

Also, the summit will consider a report by former Tanzania President Benjamin Mkapa on the Inter-Burundi Dialogue; Council Report on matters relating to the Republic of South Sudan and swearing in of the new Deputy Secretary General from the Republic of Rwanda.

South Sudan has been engulfed in a new wave of conflict since July 8, when fighting erupted near State House in the capital Juba as President Kiir and ousted Vice President Riek Machar were holding a meeting. Thousands of people have been displaced to neighbouring countries including Uganda with more than 300 people feared dead.

President Kiir recently accepted the deployment of 4,000 additional UN peacekeepers. He had initially rejected the regional protection force as a breach of the country’s sovereignty. The force will join the 12,000 UN soldiers already in the country.

Since President Pierre Nkurunziza declared last year that he would run for a controversial third term, Burundi has seen a surge in violence which has left hundreds dead. In July, MP Hafsa Mossi, a former Burundi government minister was shot dead in the Burundi capital, Bujumbura by unknown gunmen. Talks to resolve the impasse have not yielded much.

sdkafeero@ug.nationmedia.com
EAC leaders meet to discuss Burundi and South Sudan

MY TAKE

Where has Uganda indicated to be ready to sign that EPA thing?

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980 , Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Mwanakijiji, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Hili deal halina mashiko...yaani tutabakwa kweupe...na tutaendelea kuwa soko la bidhaa za ulaya kama tutakubali. Piga ua, acha hili deal liende na kama kuna mazaga zaga mengine tuyaache hatuwezi kukubali kila kitu.

Kuna uwezekano mkubwa pia tukikataa tutaingia kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi zaidi ya ule kipindi baada ya vita vya kagera!!
 
after 14 years, they ask for another 3 months and will probably ask for another year. I think we may be mistaken to say they are doing it to rub us off, maybe they are just slow.
I wonder what they will be checking that they have not already. please neighbors don't take the " slow" brand to this level.
 
Ninaweza kukubalina na wewe kuhusu sisi mwishowe kusaini lkn sababu siyo hizo ulizozielezea, bali sababu ni kwamba Wazungu wanashinikiza nchi zinazoendela kusaini EPA na hiki ndicho kilichotokea Kenya, kwa maana Kenya mara ya kwanza walikataa kusaini wakatishiwa na kushinikizwa wakaufyata, sasa hata Rwanda na Uganda ambao mwanzoni waligoma pia wametishiwa na Wazungu hivyo nina wasi wasi na Tanzania yetu pia shinikizo litakuwa kubwa sana kwa Serikali yetu na mwishowe wakasaini kwani kuna sababu kwa nini Kagame na Museveni wako Dar sasa hivi ikumbukwe kwamba hawa ni vibaraka wakubwa sana wa Wazungu, hivyo wanaweza kumtisha Raisi Magufuli kuanzia Museveni kusitisha Bomba la Mafuta mpaka Rwanda kujitoa kwenye SGR project yetu yote haya yanawezekana!

Lakini swali langu, ni kwa nini Wazungu wanshinikiza nchi kusaini kama kweli ni jambo jema kwetu? Ni kwa nini sisi wenyewe tusione kwamba ni jambo jema na kuamua kusaini? Ni kwanini watulazimishe?

Iwe mtatia saini kwa kuburuzwa na Wakenya au Wazungu hilo halijalishi, cha msingi ni kwamba hatimaye mtatia tu. Tatizo lenu kubwa mnatumia kiburi/ego badala ya kufanya maamuzi yanayoongozwa na mahesabu na takwimu za kisayansi.
Haya mambo sio ya mihemko na kupata fahari eti kuwa mnaandikwa kwenye magazeti kuwa nyie ndio mumekwamisha na mna uwezo wa kuzingua.

Tatizo Tanzania kwenu mna washauri wenu wa masuala ya kiuchumi wavivu sana, hili suala la EPA limejadiliwa kwa miaka 14 limeboreshwa na kupikwa hadi limekaa sawa kwa wahusika wote. Ghafla mnaibuka na lingine na kuchelewesha mipango ya wenzenu. Sasa hapa tena itabidi tuwasubiri maana hamna namna, kwa jamii ukiwa na kaka mzembe inabidi mnambeba maana hamuwezi kumtenga kwasababu mumeunganishwa naye kwa damu.
 
Yaani mi nikiskia kuna dili linafanywa lina husisha Tz na Kenya wapo, najua wabongo ndo tushaumia hapo.(hisia zangu tuu hizo lakini)

*bora wasubiri kwanza
 
your take cannot be a question, your take is suppose to be your opinion.

anyway, the answer to your question is right there where you have quoted in red..

if you were looking for an answer from the other articles, they seem to have been writen b4 m7 even travelled, and they from uganda, where priority to the meeting is diffrent.... and to answer your question, i will ask you, where does in say uganda wont sign the deal in these artiles you hae brought to us
 
Yaani mi nikiskia kuna dili linafanywa lina husisha Tz na Kenya wapo, najua wabongo ndo tushaumia hapo.(hisia zangu tuu hizo lakini)

*bora wasubiri kwanza
Kweli mkuu, awa Wakenya ni wezi wezi tuu. Wamekaa kijambazi jambazi alafu wazungu na wenyewe bwana washaona waafrika wapumbavu sana. Ivi mfano mdogo wewe una kitu unaenda kushirikiana na Tajiri alafu wewe kinachokulinda ni aridhi apo unaona kwamba kuna wizi wizi wa mchana mchana
 
Iwe mtatia saini kwa kuburuzwa na Wakenya au Wazungu hilo halijalishi, cha msingi ni kwamba hatimaye mtatia tu. Tatizo lenu kubwa mnatumia kiburi/ego badala ya kufanya maamuzi yanayoongozwa na mahesabu na takwimu za kisayansi.
Haya mambo sio ya mihemko na kupata fahari eti kuwa mnaandikwa kwenye magazeti kuwa nyie ndio mumekwamisha na mna uwezo wa kuzingua.

Tatizo Tanzania kwenu mna washauri wenu wa masuala ya kiuchumi wavivu sana, hili suala la EPA limejadiliwa kwa miaka 14 limeboreshwa na kupikwa hadi limekaa sawa kwa wahusika wote. Ghafla mnaibuka na lingine na kuchelewesha mipango ya wenzenu. Sasa hapa tena itabidi tuwasubiri maana hamna namna, kwa jamii ukiwa na kaka mzembe inabidi mnambeba maana hamuwezi kumtenga kwasababu mumeunganishwa naye kwa damu.
Hahaha. Inabidi msubiri, hakuna namna.
Na huenda January tukaomba mwaka mzima tena.

Like u said, huu mchezo hauhitaji hasira.
 
Hahaha. Inabidi msubiri, hakuna namna.
Na huenda January tukaomba mwaka mzima tena.

Like u said, huu mchezo hauhitaji hasira.
Awa dawa yao ni kupiga kalenda mpaka watachanganyikiwa. January ikifika wanakaaa kikaoo baada ya apo tunapiga tarehe mbele mpaka August. Sisi tutakuwa tunapata faida wakija apa kwetu tunapata pesa za kigeni.
Tunawageuza chumaulete wanakuja tunaongeza tarehe mpaka 2025. Mpaka wakishituka wataona Muungano akuna dili lolote
 
Hahaha. Inabidi msubiri, hakuna namna.
Na huenda January tukaomba mwaka mzima tena.

Like u said, huu mchezo hauhitaji hasira.

Utakua huna uelewa nini kinaendelea hapa, hata mtupige kalenda ya miaka kumi, cha msingi tutaendelea kunufaika kwa kusingizia kwamba tunasubiri Tanzania wasaini. Kibaya ni mngegoma na kusimama kidete na kusema hamtosaini, hapo ingekula kwetu maana hatungekua na namna ila kuachia wazungu watutoze kodi nzito nzito maana nchi yetu haipo kwenye orodha ya mataifa maskini wa kutupwa.

Lakini kwa sasa muendelee na kalenda tu, poa.
 
Iwe mtatia saini kwa kuburuzwa na Wakenya au Wazungu hilo halijalishi, cha msingi ni kwamba hatimaye mtatia tu. Tatizo lenu kubwa mnatumia kiburi/ego badala ya kufanya maamuzi yanayoongozwa na mahesabu na takwimu za kisayansi.
Haya mambo sio ya mihemko na kupata fahari eti kuwa mnaandikwa kwenye magazeti kuwa nyie ndio mumekwamisha na mna uwezo wa kuzingua.

Tatizo Tanzania kwenu mna washauri wenu wa masuala ya kiuchumi wavivu sana, hili suala la EPA limejadiliwa kwa miaka 14 limeboreshwa na kupikwa hadi limekaa sawa kwa wahusika wote. Ghafla mnaibuka na lingine na kuchelewesha mipango ya wenzenu. Sasa hapa tena itabidi tuwasubiri maana hamna namna, kwa jamii ukiwa na kaka mzembe inabidi mnambeba maana hamuwezi kumtenga kwasababu mumeunganishwa naye kwa damu.
Wewe, acha hizo, eti kenya watuburuze? hahaha,daydream, hamna ubavu huo,your size kuburuza ni Rwanda, sisi, kalonzo once said,you can't ignore TZ and succeed, my brother, tutasain,when kenya bows to our demands. Ndio mtajua sisi ni wanaume.
 
Ndio mnazidi kujitoa ufahamu, wengi hata hamjui nini watu wanaongea kuhusu hapa. Huu mkataba hamsaini na Kenya, hivyo Tanzania na Kenya hatuna demands za kupeana hapa.
Pili fahamu Kalonzo alikua sahihi hakuna mtu anaweza kupuuza Tanzania, jameni hiyo nchi kubwa na hayo madini na raslimali zote lazima tupigane vikumbo huko na Wachina, Waingereza, Wahindi, Wasouth n.k. Akiingia Clinton na kutoka anaingia Putin. Hakuna mtu anayeweza kuwapuuza aisei....

Tutaendelea kumassage your ego na kuwaacha mjiite wanaume, cha msingi bora mahesabu yaanakwenda poa.
 
Back
Top Bottom