Tanzania yafunga vituo maalum vya Corona kwa kukosa wagonjwa wapya

Tanzania yafunga vituo maalum vya Corona kwa kukosa wagonjwa wapya

Mtaani kwenu yupo mtu anaeugua Corona au ndani kwenu?
Kama mtu mwenye akili timamu unaelewa kiac cha korona nchini mwako bila hata ya kipimo, haiwezekani kuwe na maambukizi Kwa kiwango wanachokisema halafu mtaani kwako usiwahi kumuona au kusikia mgonjwa hata mmoja bc sio ugonjwa huo bali ni uvumi kama ule wa ebola
 
Wakati mwingine ni vizuri tu kukaa kimya kuliko kuleta ushabiki wa kivyama kwenye mambo yanayogharimu maisha ya watu.

HIYO CORONA INA MAHUSIANO GANI NA VYAMA VYA SIASA? Je huo ugonjwa unachagua itikadi za ki vyama?
Kwahiyo chadema kudai lockdown unawaona wapo sawa?
 
Wakati mwingine ni vizuri tu kukaa kimya kuliko kuleta ushabiki wa kivyama kwenye mambo yanayogharimu maisha ya watu.

HIYO CORONA INA MAHUSIANO GANI NA VYAMA VYA SIASA? Je huo ugonjwa unachagua itikadi za ki vyama?
Mimi Kwa muono wangu naona korona ipo Kwa kiwango kidogo Sana sasa wewe unaesema hali mbaya ndio unambie umeonaje mpaka unasema hali mbaya.
 
Hatuombi huu ugonjwa umpate mtu, hivyo kama haujampata ndugu yako, basi jua kuna wengine wamepoteza ndugu zao kwa ajili ya corona.
Kwanza nijue unazungumzia korona ya wapi isiwe unalalamika korona kumbe korona ya Kenya.
 
Wakati mwingine ni vizuri tu kukaa kimya kuliko kuleta ushabiki wa kivyama kwenye mambo yanayogharimu maisha ya watu.

HIYO CORONA INA MAHUSIANO GANI NA VYAMA VYA SIASA? Je huo ugonjwa unachagua itikadi za ki vyama?
Itakuwa nahisi unazungumzia korona ya Kenya unalinganisha na TZ au labda kama ni mtanzania bc jobless maana haiwezekani uwe na kazi kama Mimi mtu unamalengo kibao kila mwezi halafu udai lockdown nitakua namashaka na wewe labda uwe unakula Kwa mama.
 
Hatuombi huu ugonjwa umpate mtu, hivyo kama haujampata ndugu yako, basi jua kuna wengine wamepoteza ndugu zao kwa ajili ya corona.
Unazungumzia dhana , hiyo wengine ndio sawasawa na kusema watu wanakufa Kwa mamia kila cku Kwasababu ya korona lakin hatuoni wanazikwa wapi sasa usitutangazie Iman. Watu wote tunaishi nao hao wanaugua Kwa makundi wasijulikane wanaishi nchi gani .tukisima ndio akili za chadema unasema tunafananisha ugonywa na siasa.
 
Hatuombi huu ugonjwa umpate mtu, hivyo kama haujampata ndugu yako, basi jua kuna wengine wamepoteza ndugu zao kwa ajili ya corona.
Utumie akili mda mwengine hivi unaweza kuona kwenye nchi yenye maambukizi mengi hali hii?.
 
Najua uwezi ona na wakifanya Kenya bc baada ya wiki moja tu viwanya vyao vya michezo vitageuzwa vituo vya wagonjwa. Lakin Kwa TZ kina big wa Simba toka tarehe 12 June ligi ilipoanza upya mpaka leo bado wanafulaia tu bila hata ya barakoa hahahaha
 
Back
Top Bottom