Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
- Thread starter
-
- #21
Kama mtu mwenye akili timamu unaelewa kiac cha korona nchini mwako bila hata ya kipimo, haiwezekani kuwe na maambukizi Kwa kiwango wanachokisema halafu mtaani kwako usiwahi kumuona au kusikia mgonjwa hata mmoja bc sio ugonjwa huo bali ni uvumi kama ule wa ebolaMtaani kwenu yupo mtu anaeugua Corona au ndani kwenu?
Kwahiyo chadema kudai lockdown unawaona wapo sawa?Wakati mwingine ni vizuri tu kukaa kimya kuliko kuleta ushabiki wa kivyama kwenye mambo yanayogharimu maisha ya watu.
HIYO CORONA INA MAHUSIANO GANI NA VYAMA VYA SIASA? Je huo ugonjwa unachagua itikadi za ki vyama?
Mimi Kwa muono wangu naona korona ipo Kwa kiwango kidogo Sana sasa wewe unaesema hali mbaya ndio unambie umeonaje mpaka unasema hali mbaya.Wakati mwingine ni vizuri tu kukaa kimya kuliko kuleta ushabiki wa kivyama kwenye mambo yanayogharimu maisha ya watu.
HIYO CORONA INA MAHUSIANO GANI NA VYAMA VYA SIASA? Je huo ugonjwa unachagua itikadi za ki vyama?
Kwanza nijue unazungumzia korona ya wapi isiwe unalalamika korona kumbe korona ya Kenya.Hatuombi huu ugonjwa umpate mtu, hivyo kama haujampata ndugu yako, basi jua kuna wengine wamepoteza ndugu zao kwa ajili ya corona.
Itakuwa nahisi unazungumzia korona ya Kenya unalinganisha na TZ au labda kama ni mtanzania bc jobless maana haiwezekani uwe na kazi kama Mimi mtu unamalengo kibao kila mwezi halafu udai lockdown nitakua namashaka na wewe labda uwe unakula Kwa mama.Wakati mwingine ni vizuri tu kukaa kimya kuliko kuleta ushabiki wa kivyama kwenye mambo yanayogharimu maisha ya watu.
HIYO CORONA INA MAHUSIANO GANI NA VYAMA VYA SIASA? Je huo ugonjwa unachagua itikadi za ki vyama?
Unazungumzia dhana , hiyo wengine ndio sawasawa na kusema watu wanakufa Kwa mamia kila cku Kwasababu ya korona lakin hatuoni wanazikwa wapi sasa usitutangazie Iman. Watu wote tunaishi nao hao wanaugua Kwa makundi wasijulikane wanaishi nchi gani .tukisima ndio akili za chadema unasema tunafananisha ugonywa na siasa.Hatuombi huu ugonjwa umpate mtu, hivyo kama haujampata ndugu yako, basi jua kuna wengine wamepoteza ndugu zao kwa ajili ya corona.
Utumie akili mda mwengine hivi unaweza kuona kwenye nchi yenye maambukizi mengi hali hii?.Hatuombi huu ugonjwa umpate mtu, hivyo kama haujampata ndugu yako, basi jua kuna wengine wamepoteza ndugu zao kwa ajili ya corona.