Tanzania yafuzu hatua ya Robo fainali, Kombe la dunia la Wanawake Chini ya Miaka 17

Hii ndio timu achana na ile ya wanaume miaka kwa miaka tunawategemea Msuva na Samatta.

Tumeshindwa kiendeleza kile kizazi cha akina Dickson Job, tukashindwa tena cha akina Kibabage na wale waliocheza AFCON ya U17 iliyochezwa DSM akina Kelvin John tunangangania akina Chama na Kisinda.

Kule kwa wanaume hatutaweza kitu kama hatutaua hizi timu 2 za Simba na Yanga kama wake ya walivyoziua Gor Mahia na FC Leopard
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…