Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watao kutana na sisi robo fainali wataomba poo.
Hata Tanzania imebebwa kidogo na refa. Faulo 2 walizocheza Tanzania mbele ya marefa wa kiingereza ni nyekundu 2 zisizokuwa na shida yoyote.Nipo ghetto naangalia hawa watoto. Wamejitahidi sana tokea game ya kwanza kufungwa 4-0 na Japan ilikuwa sababu ya red card ya mapema sana, game ya Ufaransa walishinda 2-1 na walipata red pia. Game ya leo pia refa kabeba Canada kwa kuwapa penalt laini sana.
Nimeona kama Tanzania tumeonewa sana tokea game ya kwanza kabisa ila kihalali hawa wadogo zetu wanapiga soka safi sana.
Hapana, ukiwa umecheki game zote tatu utagundua tungeweza kushinda zote kama sio figisu za marefa halafu kuna na VAR lakini kama leo ile penalty soft ya Canada hata haikuwa reviewedHata Tanzania imebebwa kidogo na refa. Faulo 2 walizocheza Tanzania mbele ya marefa wa kiingereza ni nyekundu 2 zisizokuwa na shida yoyote.
Huyo angeleta shida, akina Karai hao Tifuatifua waliliona.Hivi yule Binti anayecheza sana hapo Serengeti somebody Clara Luvanga sijui yupo wapi? Angetubeba sana.
Nilisikia efm alipelekwa South Africa kwa issue hiyo ya vipimoAlafu baada ya kumpeleka nini kilifuata? Anaweza sana yule binti. Angeng'ara sana kwenye michuano hii.
Huo ni mpango kabambe wa kutuvuruga. Tuangalie sana mechi ijayo.Nipo ghetto naangalia hawa watoto. Wamejitahidi sana tokea game ya kwanza kufungwa 4-0 na Japan ilikuwa sababu ya red card ya mapema sana, game ya Ufaransa walishinda 2-1 na walipata red pia. Game ya leo pia refa kabeba Canada kwa kuwapa penalt laini sana.
Nimeona kama Tanzania tumeonewa sana tokea game ya kwanza kabisa ila kihalali hawa wadogo zetu wanapiga soka safi sana.
Figisu nyingi sama maana haya mashimdano tokea yameanza ni Spain tu ndio walioshinda mara moja kati ya nchi za magharibi (ulaya na america). North Korea ndio alikuwa ameyatawala ila mwaka huu hajashiriki.Huo ni mpango kabambe wa kutuvuruga. Tuangalie sana mechi ijayo.
.
Waamuzi watapangwa au kupewa maelekezo. Na leo hii tumecheza bila 2 first team players. Mmoja atarudi mechi ijayo..
.
Huko kwingine Nigeria nao wako vizuri. Nina hofu tutapigwa figisu tusiingie semi-finals!
Mbona hamna jema nyie?Hata Tanzania imebebwa kidogo na refa. Faulo 2 walizocheza Tanzania mbele ya marefa wa kiingereza ni nyekundu 2 zisizokuwa na shida yoyote.
Uzuri hatuchezi na Ulaya, tunacheza na washamba wenzetu wa America kusini.Huo ni mpango kabambe wa kutuvuruga. Tuangalie sana mechi ijayo.
.
Waamuzi watapangwa au kupewa maelekezo. Na leo hii tumecheza bila 2 first team players. Mmoja atarudi mechi ijayo..
.
Huko kwingine Nigeria nao wako vizuri. Nina hofu tutapigwa figisu tusiingie semi-finals!
Kwa ubingwa bando maana striking force bado ni ndogo. Hata walipofika wakivuka kidogo panatosha.Figisu nyingi sama maana haya mashimdano tokea yameanza ni Spain tu ndio walioshinda mara moja kati ya nchi za magharibi (ulaya na america). North Korea ndio alikuwa ameyatawala ila mwaka huu hajashiriki.
Kwa mpira wa wadogo zetu hawa kama sio figisu huu ubingwa utakuwa wetu mapema sana. Madogo wako yente sana.