Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

Safi sana Samia kwa kuwawezesha Tanzania wanawake kufuzu kombe la dunia, hakika bila ww wasingefika hapo.

Hii n historia, hakuna rais yeyote aliyewahi kufikisha timu hapa 🔥

Hakika Samia n bingwa la mwanamichezo dunia

Kumamaaaaaaaaaaaaaaaaae
 
Anyway, Niliwah kuwepo kwenye academy fulani ya mpira hapo jijini Tanzania nchini daslamu.

Timu inaitwa n -20 lakini kuna wachezaji wana miaka 30

Miaka zaidi ya kumi mtu anacheza hapo hapo -20
 
Wenzenu wanacheza smart games za kuchepusha miradi mikubwa ya uwekezaji kutoka kwenu kwenda kwao, nyinyi mnasifu na kuabudu petty issues za kipumbavu.
 
Back
Top Bottom