G Gmarra JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 456 Reaction score 427 Nov 22, 2023 #21 ChoiceVariable said: Nyota njema huonekana asubuhi. Mhamasishaji Mkuu wa michezo. Huko kwingine Huwa anaingiaje? Click to expand... Matumizi mabaya ya rasilimali. Vijana hawana ajira, hakuna nyumba za walimu, maji shida tupu. Madawati hayatoshi mashuleni @ kunagoli la mama???
ChoiceVariable said: Nyota njema huonekana asubuhi. Mhamasishaji Mkuu wa michezo. Huko kwingine Huwa anaingiaje? Click to expand... Matumizi mabaya ya rasilimali. Vijana hawana ajira, hakuna nyumba za walimu, maji shida tupu. Madawati hayatoshi mashuleni @ kunagoli la mama???
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 22, 2023 #22 Inapendeza...
N ndiga JF-Expert Member Joined Jan 28, 2014 Posts 605 Reaction score 614 Nov 22, 2023 #23 Serikali ya chama tawala imewekeza sana kwenye ujinga wa watu, majitu mengine yanatoka kwenye ugali yameshiba kwa jasho lao eti kaupiga mwingi for what.
Serikali ya chama tawala imewekeza sana kwenye ujinga wa watu, majitu mengine yanatoka kwenye ugali yameshiba kwa jasho lao eti kaupiga mwingi for what.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Nov 22, 2023 #24 Wachezaji wana macho ya kilevi