Tanzania yafuzu kombe la Dunia pool table nchi ikiendelea kuandika historia chini ya awamu ya 6

Tanzania yafuzu kombe la Dunia pool table nchi ikiendelea kuandika historia chini ya awamu ya 6

Nyota njema huonekana asubuhi.

Mhamasishaji Mkuu wa michezo.

Huko kwingine Huwa anaingiaje?
Matumizi mabaya ya rasilimali. Vijana hawana ajira, hakuna nyumba za walimu, maji shida tupu. Madawati hayatoshi mashuleni @ kunagoli la mama???
 
Serikali ya chama tawala imewekeza sana kwenye ujinga wa watu, majitu mengine yanatoka kwenye ugali yameshiba kwa jasho lao eti kaupiga mwingi for what.
 
Back
Top Bottom