Tanzania yafuzu kombe la Dunia pool table nchi ikiendelea kuandika historia chini ya awamu ya 6

Tanzania yafuzu kombe la Dunia pool table nchi ikiendelea kuandika historia chini ya awamu ya 6

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
1697445764473.png
Timu ya Taifa ya Tanzania ya mchezo wa Pooltable imefuzu kombe la Dunia la mchezo huo baada kumaliza nafasi ya pili kwenye Mashindano ya All African Pool Black Ball Championship yaliyofanyika Afrika Kusini.

Tanzania imepoteza kwa mabao 13-12 dhidi ya Wenyeji, Afrika Kusini lakini itaungana na Afrika Kusini kwenda kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia ya mchezo huo yatakayofanyika nchini Uingereza Februari mwakani.

Kitenge TV

===

Sekta ya michezo na Burudani inazidi kufanya vyema na mara hii ni Tanzania kufuzu Kombe la Dunia mchezo wa.Pool table kama run-up sanjali na Afrika Kusini.
 
hivi unaleta umbea wako kwa watu ambao hawafagilii huo ujinga wako
nani atafagilia uharo kama huo
mnalazimisha mtu apendwe wakati watu hawamwelewi
Mapovu sana shida nini? Kunywa maji kabla hukapata pressure Kwa sababu za upumbavu wako.
 
tutolee hilo li ujinga lako mnasifia upumbavu.
wabongo sio wehu mjinga we,
peleka huo uchafu wako huko kwenu
Kubwa jinga ni wewe,na Bado utavimba sana Kwa chuki na ufe hujaona hata Afcon 😂😂
 
Wewe ni msengelema.... Huyo mama yako alikuwa anacheza?
Mama yangu sio tuu alikuwa anacheza Bali amewawezesha hao kuanzia hamasa Hadi pesa.

Wewe hapo unapiga domo tupu kama kujamba huna Msaada wowote.

Samia atawapelekea moto Hadi mkome.
 
Mtoa mada kama vile kuna shimo mwilini mwako halipo sawa
 
Back
Top Bottom