Mtaa wenyewe uporoto.Huu ni uwongo wa mtandaoni
Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona
Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Huu ni uwongo wa mtandaoni

wanaleta habari za kibeberu eh....?Huu ni uwongo wa mtandaoni
Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona
Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Huu ni uwongo wa mtandaoni
Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona
Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Mbona ukimwi haukuwekewa karantini?Huu ni uwongo wa mtandaoni
Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona
Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Angefanyaje ili asiwe mjuaji?Magu asingeleta ujuaji kwenye hii issue angefanikiwa sana
tatizo jamaa yenu mjuaji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Usibishe mkuu unaujua ukubwa na population ya marekani?Mpuuzi kabisa wewe.Tanzania Ina maambukizi makubwa kuliko Marekani?
HIZO MACHINE ZA KUPIMIA VIPIMO ZIMETOKA CHINA. SASA HAPO KUNA NJAMA GANI ZA MABEBERU??? AU HAO NDIYO MABEBERU WENYEWE WA KICHINA?Sio siri tena kwa sasa Tanzania inatajwa vibaya sana duniani kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19. Bahati mbaya hali hiyo imepelekea kuitaja Tanzania kama kitovu kipya cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 (Covid-19 Epicentre) kwa ukanda wa maziwa makuu.
Hali hii inatokana na hatua ya nchi kadhaa zinazoizunguka Tanzania kueleza kupokea visa vipya vingi kutokea Tanzania na na wakati huo huo zikionyesha kutokukubaliana na namna taifa la Tanzania linavyokabiliana na hatari za kusambaa kwa Corona.
Mpaka sasa nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Zambia zimeweka takwimu rasmi zinazoonyesha visa vipya vilivyotokea huku vikiihusisha Tanzania moja kwa moja na zimeanza kuweka sheria ngumu zaidi kuzuia watu wanaotokea Tanzania kuingia nchini mwao.
Hatua hiyo pia imepelekea kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania siku ya jana kutoa tahadhari kuu kwa raia wa marekani waliopo Tanzania kubakia majumbani tu, kwa sababu hali ya maambukizi nchini Tanzania ni ya juu sana huku hospitali za jiji la Dar-es-salaam zikizidiwa na wagonjwa.
Wakati karibu kila nchi ikijaribu kutoa taarifa za mwenendo wa maambukizi ya COVID-19 wa kila siku hali ni tofauti kwa Tanzania ambapo kwa karibu wiki mbili sasa mamlaka za Tanzania zimekuwa kimya kabisa huku Rais wa Tanzania akitilia mashaka mwenendo mzima wa matokeo ya vipimo vya Corona nchini mwake na akihusisha jambo hilo huenda likawa ni njama za makusudi za mataifa ya makubwa kutaka kuichafua Tanzania kwa njia ya kukuza takwimu za maambukizi ya COVID-19. Mara baada ya kuzuka kwa shutuma hizo WHO ilikanusha vikali madai hayo na kusema vipimo vinavyotumiwa Tanzania kupima maambukizi ya COVID-19 ni vipimo sahihi, vinatumika dunia nzima na havina utata wowote katika kutoa majibu stahiki.
Ni kweli Mitaani kweupe Hakuna misiba ya coronaHuu ni uwongo wa mtandaoni
Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona
Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
tanzania tupo vizuri.marais majirani wanamuonea gere magufuli kwa aina ya mapambano ya corona tanzania ni mfano wa kuigwa.Sio siri tena kwa sasa Tanzania inatajwa vibaya sana duniani kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19. Bahati mbaya hali hiyo imepelekea kuitaja Tanzania kama kitovu kipya cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 (Covid-19 Epicentre) kwa ukanda wa maziwa makuu.
Hali hii inatokana na hatua ya nchi kadhaa zinazoizunguka Tanzania kueleza kupokea visa vipya vingi kutokea Tanzania na na wakati huo huo zikionyesha kutokukubaliana na namna taifa la Tanzania linavyokabiliana na hatari za kusambaa kwa Corona.
Mpaka sasa nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Zambia zimeweka takwimu rasmi zinazoonyesha visa vipya vilivyotokea huku vikiihusisha Tanzania moja kwa moja na zimeanza kuweka sheria ngumu zaidi kuzuia watu wanaotokea Tanzania kuingia nchini mwao.
Hatua hiyo pia imepelekea kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania siku ya jana kutoa tahadhari kuu kwa raia wa marekani waliopo Tanzania kubakia majumbani tu, kwa sababu hali ya maambukizi nchini Tanzania ni ya juu sana huku hospitali za jiji la Dar-es-salaam zikizidiwa na wagonjwa.
Wakati karibu kila nchi ikijaribu kutoa taarifa za mwenendo wa maambukizi ya COVID-19 wa kila siku hali ni tofauti kwa Tanzania ambapo kwa karibu wiki mbili sasa mamlaka za Tanzania zimekuwa kimya kabisa huku Rais wa Tanzania akitilia mashaka mwenendo mzima wa matokeo ya vipimo vya Corona nchini mwake na akihusisha jambo hilo huenda likawa ni njama za makusudi za mataifa ya makubwa kutaka kuichafua Tanzania kwa njia ya kukuza takwimu za maambukizi ya COVID-19. Mara baada ya kuzuka kwa shutuma hizo WHO ilikanusha vikali madai hayo na kusema vipimo vinavyotumiwa Tanzania kupima maambukizi ya COVID-19 ni vipimo sahihi, vinatumika dunia nzima na havina utata wowote katika kutoa majibu stahiki.
tanzania tupo vizuri.marais majirani wanamuonea gere magufuli kwa aina ya mapambano ya corona tanzania ni mfano wa kuigwa.
hatutishwi na corona.eti kwa sababu inaua sana uko ulaya ndo na sisi tusifanye kazi kutwa tuwaze corona ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Tutaona maajabu ya mussa , asichukiwe alieleta covid19 duniani , achukiwe Tanzania dahMkuu, mpaka leo hujajua kwamba Covd nineteen chanzo chake ni China?
Vua akiri za kibeberu na uvae akiri zako za Kiafrica
Kwani imeomba msaada gani?Sasa kwa nini dunia isiungane kuisaidia Tanzania