Tanzania yageuka kuwa kitovu cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 ukanda wa maziwa makuu?

Huu ni uwongo wa mtandaoni

Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona

Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Mtaa wenyewe uporoto.

Sent using [emoji106]
 
Huu ni uwongo wa mtandaoni

Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona

Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Huu ni uwongo wa mtandaoni

Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona

Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
wanaleta habari za kibeberu eh....?
 
Huu ni uwongo wa mtandaoni

Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona

Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania

Kwa nini mnaongopewa ninyi tu kwenye hili? Mmewahi kujiuliza?

Takwimu za vifo na maambukizi ya Corona wewe unazo kufikia kudhani tunaongopewa? Au mkuu ni hizi hizi za tangia Apr 29 za zero zero za kina waziri Ummy?
 
mwenye virus vyake katulia kwake China.
Sisi huku tunavunjana meno[emoji16][emoji16][emoji16].
Jamani corona ndo hyoo.
ILI PANDA NDEGE.
haikuanzia kwa tandale kwa tumbo.
TUVUMILIANE TU.
Au tuandamane mpaka china..
Katika BENKI ya virus ya wachina..
Kuna virus zaid ya 1,500.
Screenshot_20200509-162247.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Izo dawa za vikombe vya babu wafanye tafiti haraka ili visaidie watu maana tumechoka kuskia corona kila siku,
 
Sio siri tena kwa sasa Tanzania inatajwa vibaya sana duniani kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19. Bahati mbaya hali hiyo imepelekea kuitaja Tanzania kama kitovu kipya cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 (Covid-19 Epicentre) kwa ukanda wa maziwa makuu.

Hali hii inatokana na hatua ya nchi kadhaa zinazoizunguka Tanzania kueleza kupokea visa vipya vingi kutokea Tanzania na na wakati huo huo zikionyesha kutokukubaliana na namna taifa la Tanzania linavyokabiliana na hatari za kusambaa kwa Corona.

Mpaka sasa nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Zambia zimeweka takwimu rasmi zinazoonyesha visa vipya vilivyotokea huku vikiihusisha Tanzania moja kwa moja na zimeanza kuweka sheria ngumu zaidi kuzuia watu wanaotokea Tanzania kuingia nchini mwao.

Hatua hiyo pia imepelekea kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania siku ya jana kutoa tahadhari kuu kwa raia wa marekani waliopo Tanzania kubakia majumbani tu, kwa sababu hali ya maambukizi nchini Tanzania ni ya juu sana huku hospitali za jiji la Dar-es-salaam zikizidiwa na wagonjwa.

Wakati karibu kila nchi ikijaribu kutoa taarifa za mwenendo wa maambukizi ya COVID-19 wa kila siku hali ni tofauti kwa Tanzania ambapo kwa karibu wiki mbili sasa mamlaka za Tanzania zimekuwa kimya kabisa huku Rais wa Tanzania akitilia mashaka mwenendo mzima wa matokeo ya vipimo vya Corona nchini mwake na akihusisha jambo hilo huenda likawa ni njama za makusudi za mataifa ya makubwa kutaka kuichafua Tanzania kwa njia ya kukuza takwimu za maambukizi ya COVID-19. Mara baada ya kuzuka kwa shutuma hizo WHO ilikanusha vikali madai hayo na kusema vipimo vinavyotumiwa Tanzania kupima maambukizi ya COVID-19 ni vipimo sahihi, vinatumika dunia nzima na havina utata wowote katika kutoa majibu stahiki.
HIZO MACHINE ZA KUPIMIA VIPIMO ZIMETOKA CHINA. SASA HAPO KUNA NJAMA GANI ZA MABEBERU??? AU HAO NDIYO MABEBERU WENYEWE WA KICHINA?
 
Huu ni uwongo wa mtandaoni

Tanzania ingekuwa imeathirika na corona tungeona misiba kili kona

Ila mtaani kwetu hakuna taarfa ya msiba wa corona toka hili gonjwa liingie Tanzania
Ni kweli Mitaani kweupe Hakuna misiba ya corona
 
Sio siri tena kwa sasa Tanzania inatajwa vibaya sana duniani kuhusu mapambano dhidi ya COVID-19. Bahati mbaya hali hiyo imepelekea kuitaja Tanzania kama kitovu kipya cha kusambaza maambukizi ya COVID-19 (Covid-19 Epicentre) kwa ukanda wa maziwa makuu.

Hali hii inatokana na hatua ya nchi kadhaa zinazoizunguka Tanzania kueleza kupokea visa vipya vingi kutokea Tanzania na na wakati huo huo zikionyesha kutokukubaliana na namna taifa la Tanzania linavyokabiliana na hatari za kusambaa kwa Corona.

Mpaka sasa nchi za Kenya, Uganda, Rwanda na Zambia zimeweka takwimu rasmi zinazoonyesha visa vipya vilivyotokea huku vikiihusisha Tanzania moja kwa moja na zimeanza kuweka sheria ngumu zaidi kuzuia watu wanaotokea Tanzania kuingia nchini mwao.

Hatua hiyo pia imepelekea kwa Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania siku ya jana kutoa tahadhari kuu kwa raia wa marekani waliopo Tanzania kubakia majumbani tu, kwa sababu hali ya maambukizi nchini Tanzania ni ya juu sana huku hospitali za jiji la Dar-es-salaam zikizidiwa na wagonjwa.

Wakati karibu kila nchi ikijaribu kutoa taarifa za mwenendo wa maambukizi ya COVID-19 wa kila siku hali ni tofauti kwa Tanzania ambapo kwa karibu wiki mbili sasa mamlaka za Tanzania zimekuwa kimya kabisa huku Rais wa Tanzania akitilia mashaka mwenendo mzima wa matokeo ya vipimo vya Corona nchini mwake na akihusisha jambo hilo huenda likawa ni njama za makusudi za mataifa ya makubwa kutaka kuichafua Tanzania kwa njia ya kukuza takwimu za maambukizi ya COVID-19. Mara baada ya kuzuka kwa shutuma hizo WHO ilikanusha vikali madai hayo na kusema vipimo vinavyotumiwa Tanzania kupima maambukizi ya COVID-19 ni vipimo sahihi, vinatumika dunia nzima na havina utata wowote katika kutoa majibu stahiki.
tanzania tupo vizuri.marais majirani wanamuonea gere magufuli kwa aina ya mapambano ya corona tanzania ni mfano wa kuigwa.
hatutishwi na corona.eti kwa sababu inaua sana uko ulaya ndo na sisi tusifanye kazi kutwa tuwaze corona ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tanzania tupo vizuri.marais majirani wanamuonea gere magufuli kwa aina ya mapambano ya corona tanzania ni mfano wa kuigwa.
hatutishwi na corona.eti kwa sababu inaua sana uko ulaya ndo na sisi tusifanye kazi kutwa tuwaze corona ?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa kweli haiwezekani.

Sisi ni tofauti sana na mataifa mengine.

Hata tukifa na Corona haiwezi kutumaliza. Mbona ma TB, malaria, kipindupindu na mengine yametushinda?

Sisi ni ngangari.
 
Back
Top Bottom