Tanzania yagundua utajiri mwingine mpya mkubwa na wataalam

Hayana faida sana kwetu hayo maana hata impact ya gesi sijaiona mpaka leo
 
Pamoja nankwamba Tanzania tunao utajiri wa Almas (mwadui), Dhahabu (Kahama, Geita, Mara) na Tanzanite (Mererani)... Lakini Tanzania ni miongoni mwa nchi yenye wakazi wanao ishi maisha magumu na umasikini ulio topea.
Pamoja na kwamba wataalamu wamegundua madini huko Selous, binafsi sioni tija na chakujivunia
 
Huku nchi ikibaki kuwa ombaomba na deni la Taifa likizidi kupaa... Tunafurahia misaada ya mabepari kwa jina la wahisani bila kujali athari zake
 
Mabwana tutafurika shamba la bibi kuchuma na kurejesha mapato kwetu.
 
Hayana faida sana kwetu hayo maana hata impact ya gesi sijaiona mpaka leo
Katika megawatts zaidi ya 1,300 tunazozalisha Tanzania, megawatts 800 zinazalishwa kutokana na gesi asilia na mitambo mingine zaidi ya uzalishaji umeme kutumia gesi inajengwa

Leo tu kumezinduliwa mradi wa kusambaza gesi majumbani
 
Hapo selous kuna madini ya kila aina hadi URANIUM.. Urusi ilitaka kuchimba na kuahidi itatujengea nuclear reactors lakini tulisitisha kutokana na uharibifu wa mazingira ambao wataalam waliukadiria vilevile tulikua hatuna wataalam wa kutosha..
 
Bravo my beloved TANZANIA.
The TIME will come when the endowment will fully benefit our country.
 
Hapo selous kuna madini ya kila aina hadi URANIUM.. Urusi ilitaka kuchimba na kuahidi itatujengea nuclear reactors lakini tulisitisha kutokana na uharibifu wa mazingira ambao wataalam waliukadiria vilevile tulikua hatuna wataalam wa kutosha..
pia ilimuaidi itamjengea mabomu ya nuclear mizinga ya nuclear na kadhalika.... zote mkakataa manake nyinyi ni nchi ya matajiri mnapenda mazingira sana hamna aja ya pesa za madini. ila cha kustajabisha mnachoma nyumba za wamasaii. Congo pia ni nchi ya matajiri. tafakari ayo dogo.
 
labda wajukuu wako wata benefit wakiwa hii miaka uliyo nayo sasa 70.

Hiyo siyo shida. Maana my plans are targeting the future generation. KAMA hiyo SGR YENYU mmekopa ili KUJENGA na hiyo facility itatumika across the generation, na PIA DENI lenu watalipa MPAKA kizazi cha nne.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…