Tanzania yagundua utajiri mwingine mpya mkubwa na wataalam

Tanzania yagundua utajiri mwingine mpya mkubwa na wataalam

Pamoja nankwamba Tanzania tunao utajiri wa Almas (mwadui), Dhahabu (Kahama, Geita, Mara) na Tanzanite (Mererani)... Lakini Tanzania ni miongoni mwa nchi yenye wakazi wanao ishi maisha magumu na umasikini ulio topea.
Pamoja na kwamba wataalamu wamegundua madini huko Selous, binafsi sioni tija na chakujivunia

Hilo ndo linalokera sijui ni kutokana na ubinafsi wa viongozi ama kutokuwa na dira ya maendeleo either way ni jambo linalokereketa sana
 
pia ilimuaidi itamjengea mabomu ya nuclear mizinga ya nuclear na kadhalika.... zote mkakataa manake nyinyi ni nchi ya matajiri mnapenda mazingira sana hamna aja ya pesa za madini. ila cha kustajabisha mnachoma nyumba za wamasaii. Congo pia ni nchi ya matajiri. tafakari ayo dogo.
Mi silaumu yaliyopita, we still have a plenty of untaped wealth hata hicho walichoiba huko zamani ni kidogo sanaaa.. Namuamini Magufuli najua hatatuangusha Watanzania.. Ameshaweka strictly laws na anafuatilia vibaya Sana.. We're on the right Direction
 
Katika megawatts zaidi ya 1,300 tunazozalisha Tanzania, megawatts 800 zinazalishwa kutokana na gesi asilia na mitambo mingine zaidi ya uzalishaji umeme kutumia gesi inajengwa

Leo tu kumezinduliwa mradi wa kusambaza gesi majumbani

Hivi gesi itasambazwa vipi majumbani kwenye miji ambayo zaidi ya asilimia 70 ya maeneo hayajapimwa?
Hivi huko serikalni, hakuna mtu ambaye anatumia hata common sense tu?
 
Mi silaumu yaliyopita, we still have a plenty of untaped wealth hata hicho walichoiba huko zamani ni kidogo sanaaa.. Namuamini Magufuli najua hatatuangusha Watanzania.. Ameshaweka strictly laws na anafuatilia vibaya Sana.. We're on the right Direction
Tatizo ni CCM. As long as CCM and its crooks, Magufuli included are still in power, we have to forget about progressive changes in our economic development (not growth).
Magufuli huyu fisadi na mwizi ndiyo unamwamini?
 
Hata babako pia fisadi, Hizo siasa upumbavu peleka kwa wenzako jukwaani kule, Huku watu wameelimika.. I'll always support MAGUFULI as long as he's in the power.. Kama unafkiri chadema wakiwa madarakani ndio hakutakua na Rushwa then you're a living dead
 
Hasira za nini chifu na kuanza kutukanana? Baba yangu ni maskini na mnyonge ambaye msanii Magufuli ana-act kumwakilisha. Natamani angekuwa fisadi, ili niweze kuwa arrogant kama walivyo wapiga vigelegele wa CCM.

Pia, kwani ni uongo Magufuli siyo mwizi na fisadi?

I don't give a dang about CHADEMA. But, I'm 100 percent certain that CCM WILL NEVER LEAD TANZANIA TO PROSPERITY.

Na unasema nipeleke jukwaani kupi? Wewe na nani kunipangia wapi pa kuandika?

Endelea tu kum-support huyo msanii, mwizi na jambazi mkubwa. Ni haki yako.
 
Basi amini unachoamini na Mimi niamini nnachoamini kwasababu sio kosa kisheria.. Magufuli is my president and he will forever be.. Hata akiwa out of power bado ntazidi kumuheshimu kama Raisi aliyefnya mageuzi makubwa kwenye hii NCHI.. Ndio Raisi pekee ninaeweza kumwamini 90%.. Kama watamuongezea Miaka ntashukuru pia..
 
Bravo my beloved TANZANIA.
The TIME will come when the endowment will fully benefit our country.

When that time comes, all the resources will be depleted, unless we are lucky to have Jesus and SAW as one our president and the other Prime Minister. These will be able to effectively manage the imperialists with the help of Angels as their cabinet members.
 
Habari nzuri
waliogundua madini ya ALMASI na TANZANITE ni kabila gani? si ni haohao wote MAZIGANYANGA tu pamoja na ugunduzi wao tangu enzi hizo MTANGANYIKA + MZANZIBAR ni maskini wa mwisho duniani. tudanganyeni na ugunduzi wenu mpya huo.
 
Katika megawatts zaidi ya 1,300 tunazozalisha Tanzania, megawatts 800 zinazalishwa kutokana na gesi asilia na mitambo mingine zaidi ya uzalishaji umeme kutumia gesi inajengwa

Leo tu kumezinduliwa mradi wa kusambaza gesi majumbani

vipi makinikia hela yetu imelipwa?
 
.. Hata akiwa out of power bado ntazidi kumuheshimu kama Raisi aliyefnya mageuzi makubwa kwenye hii NCHI....
Kwa kweli kafanya 'mageuzi' makubwa. Kama ya upotevu wa TZS 1.5T, na utengaji wa less than 1 percent ya budget kwenye kilimo, sekta inayoajiri zaidi ya asilimia 70 ya watanzania. Huku akitenga TZS 500+B kwenye kununua ndege.

Haya siyo mageuzi, bali ni rekodi ya dunia kwenye kiwango cha ujinga.
 
Back
Top Bottom