Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Pamoja nankwamba Tanzania tunao utajiri wa Almas (mwadui), Dhahabu (Kahama, Geita, Mara) na Tanzanite (Mererani)... Lakini Tanzania ni miongoni mwa nchi yenye wakazi wanao ishi maisha magumu na umasikini ulio topea.
Pamoja na kwamba wataalamu wamegundua madini huko Selous, binafsi sioni tija na chakujivunia
Mi silaumu yaliyopita, we still have a plenty of untaped wealth hata hicho walichoiba huko zamani ni kidogo sanaaa.. Namuamini Magufuli najua hatatuangusha Watanzania.. Ameshaweka strictly laws na anafuatilia vibaya Sana.. We're on the right Directionpia ilimuaidi itamjengea mabomu ya nuclear mizinga ya nuclear na kadhalika.... zote mkakataa manake nyinyi ni nchi ya matajiri mnapenda mazingira sana hamna aja ya pesa za madini. ila cha kustajabisha mnachoma nyumba za wamasaii. Congo pia ni nchi ya matajiri. tafakari ayo dogo.
Hivi gesi itasambazwa vipi majumbani kwenye miji ambayo zaidi ya asilimia 70 ya maeneo hayajapimwa?Katika megawatts zaidi ya 1,300 tunazozalisha Tanzania, megawatts 800 zinazalishwa kutokana na gesi asilia na mitambo mingine zaidi ya uzalishaji umeme kutumia gesi inajengwa
Leo tu kumezinduliwa mradi wa kusambaza gesi majumbani
Tatizo ni CCM. As long as CCM and its crooks, Magufuli included are still in power, we have to forget about progressive changes in our economic development (not growth).Mi silaumu yaliyopita, we still have a plenty of untaped wealth hata hicho walichoiba huko zamani ni kidogo sanaaa.. Namuamini Magufuli najua hatatuangusha Watanzania.. Ameshaweka strictly laws na anafuatilia vibaya Sana.. We're on the right Direction
Hata babako pia fisadi, Hizo siasa upumbavu peleka kwa wenzako jukwaani kule, Huku watu wameelimika.. I'll always support MAGUFULI as long as he's in the power.. Kama unafkiri chadema wakiwa madarakani ndio hakutakua na Rushwa then you're a living deadTatizo ni CCM. As long as CCM and its crooks, Magufuli included are still in power, we have to forget about progressive changes in our economic development (not growth).
Magufuli huyu fisadi na mwizi ndiyo unamwamini?
Hata babako pia fisadi, Hizo siasa upumbavu peleka kwa wenzako jukwaani kule, Huku watu wameelimika.. I'll always support MAGUFULI as long as he's in the power.. Kama unafkiri chadema wakiwa madarakani ndio hakutakua na Rushwa then you're a living dead
Basi amini unachoamini na Mimi niamini nnachoamini kwasababu sio kosa kisheria.. Magufuli is my president and he will forever be.. Hata akiwa out of power bado ntazidi kumuheshimu kama Raisi aliyefnya mageuzi makubwa kwenye hii NCHI.. Ndio Raisi pekee ninaeweza kumwamini 90%.. Kama watamuongezea Miaka ntashukuru pia..Hasira za nini chifu na kuanza kutukanana? Baba yangu ni maskini na mnyonge ambaye msanii Magufuli ana-act kumwakilisha. Natamani angekuwa fisadi, ili niweze kuwa arrogant kama walivyo wapiga vigelegele wa CCM.
Pia, kwani ni uongo Magufuli siyo mwizi na fisadi?
I don't give a dang about CHADEMA. But, I'm 100 percent certain that CCM WILL NEVER LEAD TANZANIA TO PROSPERITY.
Na unasema nipeleke jukwaani kupi? Wewe na nani kunipangia wapi pa kuandika?
Endelea tu kum-support huyo msanii, mwizi na jambazi mkubwa. Ni haki yako.
Bravo my beloved TANZANIA.
The TIME will come when the endowment will fully benefit our country.
waliogundua madini ya ALMASI na TANZANITE ni kabila gani? si ni haohao wote MAZIGANYANGA tu pamoja na ugunduzi wao tangu enzi hizo MTANGANYIKA + MZANZIBAR ni maskini wa mwisho duniani. tudanganyeni na ugunduzi wenu mpya huo.Habari nzuri
vipi makinikia hela yetu imelipwa?Katika megawatts zaidi ya 1,300 tunazozalisha Tanzania, megawatts 800 zinazalishwa kutokana na gesi asilia na mitambo mingine zaidi ya uzalishaji umeme kutumia gesi inajengwa
Leo tu kumezinduliwa mradi wa kusambaza gesi majumbani
MAKINIKIA ineishia wapi?
Kwa kweli kafanya 'mageuzi' makubwa. Kama ya upotevu wa TZS 1.5T, na utengaji wa less than 1 percent ya budget kwenye kilimo, sekta inayoajiri zaidi ya asilimia 70 ya watanzania. Huku akitenga TZS 500+B kwenye kununua ndege... Hata akiwa out of power bado ntazidi kumuheshimu kama Raisi aliyefnya mageuzi makubwa kwenye hii NCHI....