Tanzania yaifunga Namibia 1-0 CHAN

Lile shoot la Lyanga kama isingekuwa umahili wa kipa lingekuwa bao tam sana like.
 
Naunga mkono hoja, kwa sasa ongeza mmoja toka Namungo.
 
Hii sub ya Faridi kwa Majogolo aisee!!
 
Eeh Mungu saidia TZ yetu ni aibu kutoka kapa jamani kila siku sisi tu
 
Duh namibia wanakosa magori ya wazi
 
Hawa jamaa wanakuja Kama nyuki huyu beki 4 wetu simuelewi kabisa huyu, well done Aishi Manula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…