Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
Yani Tanzania hakuna kutoa data isiyomsifu magufuli na hakuna SGR hadi inabidi watumie picha za Kenya.
Miaka kadhaa iliyopita Mbunge wao alitumia PICHA za SGR ya Kenya kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa SGR ya Tanzania ambao hadi wa Leo uko mbali sana kukamilika.
Sasa maTV na YouTube channels zinazomilikiwa na Wadanganyika yanatumia PICHA za SGR ya Kenya kuonyesha maendeleo ya ujenzi wa SGR ya Tanzania ambayo ujenzi umekwama mahali mtoni Pugu tangia Mbunge atumie PICHA hizi miaka kadhaa zilizopita.
Kiini cha kusimama kwa ujenzi wa mradi huu bado hakijajulikana kwani serikali ya CCM imekataza utoaji wa habari ambazo hazijaidhinishwa na CCM.
Swali ni je, waliidhinisha aje hii ya KUTUMIA PICHA za SGR ya Kenya?