Tanzania yaiga SGR ya Kenya kwa kutumia picha zake kwenye TV

Tanzania yaiga SGR ya Kenya kwa kutumia picha zake kwenye TV

Hii ni phase II kutoka Morogoro mjini kwenda Makutupola Singida kupitia Dodoma

Waziri mkuu akikagua mradi wa reli SGR from Dar to Moro hii ni phase I
Haibebi abiria wala mizigo.
 
Ninyi mnadhani ujenzi wa miradi mikubwa ni kukurupuka tu ili mpige dili kama ilivyo kwa viongozi wenu. Thubutu, miradi inasimamiwa ipasavyo ili kupata value for money.
 
Ninyi mnadhani ujenzi wa miradi mikubwa ni kukurupuka tu ili mpige dili kama ilivyo kwa viongozi wenu. Thubutu, miradi inasimamiwa ipasavyo ili kupata value for money.

Wanaiba ili waende kununua benki kongo teh teh teh, huku nyang'au zingine zikiteseka kwa njaa.
 
Hii kaambiane kijiweni
Wewe dogo acha roho mbaya haisaidii, SGR inajengwa Dar to Moro 90% as of now, mwisho wa mwaka tunawasha mtajinyonga.

Halafu ukajifunze kiswahili fasaha, sio unaandika rubbish
 
Wewe dogo acha roho mbaya haisaidii, SGR inajengwa Dar to Moro 90% as of now, mwisho wa mwaka tunawasha mtajinyonga.

Halafu ukajifunze kiswahili fasaha, sio unaandika rubbish
Kiswahili fasaha doesn't pay my bills.
Na TZ hakuna SGR. Ukitaka kupanda SGR kama abiria itabidi uje Kenya au Ethiopia.
 
Danganyika nayo ni kituko cha Nchi.
Yani SGR 100km imewalemea na hawaulizi serikali ya CCM kwa nini? Kazi ni misifa tu.
Ati ruvu kuna mamba [emoji23][emoji23]

Kenya with the failed jubilee government that steals at every available opportunity imesukumwa ukingoni na raia hadi wanajenga 600km.
Zigi Rizla kwisha habari yako😎
 
Back
Top Bottom