Zigi Rizla
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 1,064
- 1,107
- Thread starter
-
- #21
Haibebi abiria wala mizigo.
Hii ni phase II kutoka Morogoro mjini kwenda Makutupola Singida kupitia Dodoma
Waziri mkuu akikagua mradi wa reli SGR from Dar to Moro hii ni phase I
Haibebi abiria wala mizigo.
Yaawn!
We subiria utauona mziki wake. Ibebe wakati umeona hapo ujenzi upo 87%.
Wewe isubirie tu hiyo same story sisi tunasonga mbele.Yaawn!
Same story kila siku
Ninyi mnadhani ujenzi wa miradi mikubwa ni kukurupuka tu ili mpige dili kama ilivyo kwa viongozi wenu. Thubutu, miradi inasimamiwa ipasavyo ili kupata value for money.
Hii kaambiane kijiweni
We subiria utauona mziki wake. Ibebe wakati umeona hapo ujenzi upo 87%.
Wewe dogo acha roho mbaya haisaidii, SGR inajengwa Dar to Moro 90% as of now, mwisho wa mwaka tunawasha mtajinyonga.Hii kaambiane kijiweni
Kiswahili fasaha doesn't pay my bills.Wewe dogo acha roho mbaya haisaidii, SGR inajengwa Dar to Moro 90% as of now, mwisho wa mwaka tunawasha mtajinyonga.
Halafu ukajifunze kiswahili fasaha, sio unaandika rubbish
Nahisi nachat na chiziKiswahili fasaha doesn't pay my bills.
Na TZ hakuna SGR. Ukitaka kupanda SGR kama abiria itabidi uje Kenya au Ethiopia.
Zigi Rizla kwisha habari yako😎Danganyika nayo ni kituko cha Nchi.
Yani SGR 100km imewalemea na hawaulizi serikali ya CCM kwa nini? Kazi ni misifa tu.
Ati ruvu kuna mamba [emoji23][emoji23]
Kenya with the failed jubilee government that steals at every available opportunity imesukumwa ukingoni na raia hadi wanajenga 600km.