Mbolabilika
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 2,128
- 2,867
Ndio wajue kama si kila anachosema mzungu kipo sawa maana hawa wakenya walivyo kosa akili kitu kikisemwa na ngozi nyeupe kwa wanachukulia hakijasemwa na binadamu wakawaidaHata Mimi ninashangaa, pamoja na haya yote lakini bado Tanzania ipo juu ya Kenya, inaonekana huko Kenya hali ni mbaya sana, au ni Mabeberu wanaichukia Kunyaland?. Hahaha, hahaha, hahahahah
Evidence please, hahahahaThe report was written in 2015 but published in 2020. Ama kusoma ndio hujui?
Umeisoma au unabwabwaja tu wewe?My friend Kenya inakusumbua akili sana. This is report ya 2015 even before Magufuli became the president.
You guys are too lazy to read. Even your own thread you could not manage to read ? Kweli watanzania hutumia asilimia moja ya akili zao.Evidence please, hahahaha
Wewe hata unajua kusoma? Ingekuwa unajua kusoma ungenotice kuwa hiyo ni data ya 2015.Umeisoma au unabwabwaja tu wewe?
Kama Saanane?Ripoti wameandika ni mwaka 2020, au unazungumzia Magufuli kuingia madarakani katika kipindi cha pili cha Uongozi wake?.
Mumezidi mdomo wakati nchini kwenu mtu akisema vibaya kuhusu kiongozi au Serikali yenu, kesho anakutwa ameuliwa.
Kuanzia Leo msizungumze lollote kuhusu "Freedom of Expression", Tanzania hamuiwezi kabisa, pamoja na fujo za Magufuli lakini bado hamjatufikia. Hovyo kabisa.