Tanzania yaijengea reli Uganda, South Sudan yavutiwa, yaomba kuitumia bandari ya Dar kupitia Uganda.

[emoji370][emoji480][emoji480][emoji480][emoji480][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]rudia hio setensi bila kulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]si lamu port hua inakuuma JAMAni?kamwambie jiwe ajenge bagamoyo na uaache wivu wa like[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaitafutia jina kwani mnashindana na Kenya?
 
Unaitafutia jina kwani mnashindana na Kenya?
Hapana sio kushindana, lengo ni kuzitofautisha hizi "two coalisions for easy references" hapa katika mjadala, Kenya na Tanzania sio "competitors, they are partners in developments".
 
Hawa jamaa wanahaha kweli na wanasiasa....wanadhani ni mfanyi biashara gani mwenye atapagawa atumie bandari ya dar....bwahahhaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa jamaa wanahaha kweli na wanasiasa....wanadhani ni mfanyi biashara gani mwenye atapagawa atumie bandari ya dar....bwahahhaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha, hahahahaha. Kenya hoyeee
 
Tafadhali tumieni lugha ya staha(avoid vulgar language), unapachika majina ya kihumi(showing lack of etiquette) kwa jirani zako ambao wemewekeza Tanzania zaidi ya kampuni 150 na wewe huna hata kampuni moja kwao! aliyetangulia katangulia tu!
Tena ujirani wa nchi na nchi ambao huwezi hata kuhama. Tumieni lugha za staha; hoja zitaeleweka tu ilimradi ni za ukweli maana ukweli haufichiki hata kama utatumia gharama kubwa kiasi gani kuuficha, hatimae itajulikana tu kwamba Kilimanjaro iko Tanzania, Samatta ni mtanzania na mtaa wa mabanda uko Nairobi.
 
Hii habari ni mbaya naona kuna mfipa mmoja povu limemtoka na wanapinga hii nchi isipate maendeleo .... wasahau kuja kuongoza hii nchi
 
Wtf is this nonsense.
 
Hahahaha! It beats logic mwanabiashara kupitisha mizigo Dar to Sudan when Kenya and Sudan share a border??? joto la jiwe akili zako timamu kweli unapo post such cheap propaganda??? Hapana tumia kichwa Kama kabati ya meno...reason bwana!
Yeye ni robot ya sisiemu na jiwe ,kazi yake ni kutapika propaganda za kipuuzi bila kutumia logic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tu aingize mchicha kutota kwa ccm
 
Hakuna Yesu atakaerudi buda, endeleeni kuwa brainwashed whilst wanaume tunafukuza mwizi.
Huyu mwizi mlianza kumfukuza tangu enzi za babu zenye,yaani tangu enzi za Nyerere na mtaendelea kumfukuza mpaka enzi za wajukuu na vitukuu vyenyu[emoji1787][emoji1787]
 
Hawa jamaa wanahaha kweli na wanasiasa....wanadhani ni mfanyi biashara gani mwenye atapagawa atumie bandari ya dar....bwahahhaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Watakwambia pia waethiopia pia wameanza kutumia bandari ya dar...yaaani ccm inajua hua inatawala nugu
 
Yeye ni robot ya sisiemu na jiwe ,kazi yake ni kutapika propaganda za kipuuzi bila kutumia logic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora tu aingize mchicha kutota kwa ccm
Hivi wewe ulizaliwa kwa operation ama SVD?. Mimi nimekuwekea clip ya video, sasa hiyo propaganda niliyotapika toka kichwani mwangu ni ipi,?.
 
Huyu mwizi mlianza kumfukuza tangu enzi za babu zenye,yaani tangu enzi za Nyerere na mtaendelea kumfukuza mpaka enzi za wajukuu na vitukuu vyenyu[emoji1787][emoji1787]
Nyerere alikua busy kupigana vita vya ukombozi wa Africa. Akili zako huwa unazitia kwapani au?
 
Huyu mwizi mlianza kumfukuza tangu enzi za babu zenye,yaani tangu enzi za Nyerere na mtaendelea kumfukuza mpaka enzi za wajukuu na vitukuu vyenyu[emoji1787][emoji1787]
Kuna jamaa ywaitwa mfiaukwel...aluwanyorosha vibaya sana hawa jamaa....joto la jiwe kaulizwa feasibility study ya sgr jiwe iko wapi...

Joto kasema eti ni public document...mara tena akiitaka aende kw wizara husika ataonyeshwa...nikaamuuliza yeye ameshawai enda na akaonyeshwa...jamaa akalenga hadi leo[emoji1784][emoji1784][emoji1784]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…