Tanzania yaijengea reli Uganda, South Sudan yavutiwa, yaomba kuitumia bandari ya Dar kupitia Uganda.

Mombasa handles twice Dar ..... simply because Kenyan economy is almost twice TZ. That’s the simple truth..... hizo story zingine za Uganda ni story tu!!! At the end of the day the numbers don’t lie!!!
Hahahahaha, mbona mnashindwa kumalizia SGR kama kweli uchumi wenu ni mkubwa. Uchumi mkubwa lakini mchina umeona upo katika makaratasi hautoweza kulipa deni lake. Fake Economy, fake currency, fake GDP and fake leadership.
 
Robot ya sisiem imeamka kueneza propaganda tena please nionyeshe ni wapi Kenya imeshindwa kulipa mkopo ata moja
 
Robot ya sisiem imeamka kueneza propaganda tena please nionyeshe ni wapi Kenya imeshindwa kulipa mkopo ata moja
China imekataa kuwapa pesa za kumalizia ujenzi wa SGR hadi Kisumu baada ya kugundua kwamba huo mradi hauwezi kutengeneza faida na kurudisha pesa yao, sasa kama Kenya ina uchumi mkubwa, kwanini wachina wakatae kwa kuhofia kutokulipwa pesa yao?, kama uchumi ni mkubwa, kwanini Kenya msimalizie ninyi wenyewe kumalizia hicho kipande kidogo toka Naivasha hadi Kisumu?, mbona Tanzania tunajenga kwa pesa yetu na tunawasaidia Uganda kwa pesa yetu?
 
Hahahahaha, mbona mnashindwa kumalizia SGR kama kweli uchumi wenu ni mkubwa. Uchumi mkubwa lakini mchina umeona upo katika makaratasi hautoweza kulipa deni lake. Fake Economy, fake currency, fake GDP and fake leadership.
Kilomita 200 mbili zimewashinda za SGR, Kibaka highway pia imekwama, Bagamoyo imewashinda na pia ATCL imewashinda... Failed state imewashinda nyie Dead State 😁
 
Huyo mjinga hayuko tayari kuelimika,anaweza akakubishia kwamba yeye si mwanaume.
 
Analysis nzuri sana.
Kibaya wanasema Nchi hii tumeibiwa sana! Tumeibiwa na nani? Wezi wametoka nje au ndani? Nani wahusika wa ndani? Ni nani alikuwa madarakani? Ni chama gani kilikuwa kinaongoza? Wewe unayedai hivyo umechukua hatua gani kwa chama na viongozi walio husika kuiba?
Kama hukuchukua na wala huna mpango wa kuchukua hatua, si bora ukae kimya? Kama kila mtu analalamika nani atachukua hatua?
Iwapo adui humuwezi ungana naye! Mbwembwe za kulalamika bila kuchukua hatua dhidi ya wezi na mfumo, hazisaidii Nchi. Ni kujikweza na kutaka huruma kwa wananchi wenye uelewa mdogo kuelewa, kufuatilia na kuchambua mambo!
 
Kenya uchumi wake ni mdooooogo Sana ukilinganisha na mataifa mengi ya dunia ila ni karibia mara mbili ya uchumi wa Tanzania,kwa Hilo gazette umeweka hapo limesema uchina waliangalia viability ya project... mbona hio trip ya uhuru China walitoa mkopo wa karibia $1bn. Kufadhili konz,jkia James gichuru highway na mirandi mingine?kama wangejua hatutaweza kulipa hawangetupatia loan..........alafu please nionyeshe kwenye Kenya ime default kulipa loan nihame jamii forums
 
That is $1.2 bln aside SGR investment at the port! Still 3 times what TPA sank at Dar port!
Wewe wacha upumba article yako ishaa kupatia brake down but uzembe wa kusoma ndio umejaza kwa kichwa kwa iyo $1.2bn kuna miradi minne tofauti hapo
1.shimoni fish port kea boarder ya Kenya na Tanzania ($200mln)ambayo ni PPP hapo hakuna pesa ya serikali inakua involved
2.second container terminal ($300) ambayo itakuwa na capacity ya 550,000 dead weight tonnes
3.dongo kundu free trade port($300mln)

Conclusions port ya Mombasa uskue unalinganisha na iyo Banda lenyu la port....Mombasa ilinganisha na Durban na Tangier
 
mkorinto Kuelimika ni kukalili nyimbo za kusifia jiwe jiwe na sisiem kea ujumla?wacha niendelee kua mjinga lakini propaganda za ccm hamtazieneza dhidi ya Kenya tukiwa hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dah still bado mna dream kwa uchumi wa makaratasi ?!
Poleni wachen watz wasonge mbele
 
Dah still bado mna dream kwa uchumi wa makaratasi ?!
Poleni wachen watz wasonge mbele
Tz no nchi ndogo Sana na hauwezi kamwe kuilinganisha na nchi kama Kenya Sisi hatuko league yenyu.....nendeni mkabishana na kina Burundi na msubiji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]league yetu ni kina Morocco
 
mombasa hundled 30million 2017
 
Tz no nchi ndogo Sana na hauwezi kamwe kuilinganisha na nchi kama Kenya Sisi hatuko league yenyu.....nendeni mkabishana na kina Burundi na msubiji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]league yetu ni kina Morocco
Yaani wewe ni kama mwanamama mtangazaji wa tv ya taifa ya north korea.

Ana mbwembwe huyo,while uhalisia 0%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…