Tanzania imeingia mkataba na Falme za Kiarabu kuzalisha Umeme jadilifu megawatt 2000.
Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
Kukamilika kwa miradi hii kutapelekea Bei ya Umeme kupungua sana.
- Tunachokijua
- Serikali ya Saudi Arabia waliichagua mwezi wa tatu 2016 nchi ya Tanzania kuwa ni chaguo la kwanza katika kukuza ushirikiano wa biashara, uwekezaji.
Kutokana na ripoti ya Waziri wa mambo ya nje Saudi Arabia Salman Bin Abdulaziz Al Saud kuwa serikali inampango wa kushirikiana na chi za Afrika sio kiuchumi bali uwekezaji mkubwa wa miradi mbalimbali Ikiwemo Elimu, Mawasiliano na Uchukuzi imegewa nafasi ya mwanzo