Tanzania yaingiza Hotel mbili ndani ya Top 10 ya 'The Most expensive Hotels in the World'

sexologist

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
2,276
Reaction score
976
Jisomee mwenyewe na utambue kwamba pamoja na hayo lakini mimi mtanzania wa kawaida sioni la maana kiuchumi binafsi na bado uchumi unazidi kushuka tu!!!! Naamini hizi hotel zinajaa kila wakati, ila siamini kama kodi itakuwa inalipwa ipasavyo..

1. North Island Lodge, Seychelles $5,843 USD per couple
2. Laucala Resort, Fiji, $5,040
3. Khwai River Lodge, Botswana, $4,060
4. Savute Elephant Camp, Botswana, $4,020
5. Eagle Island Camp & Spa, Botswana, $3,970
6. Singita Grumeti Reserves, Tanzania, $3,570
7. King Pacific Lodge, Canada, $3,249
8. Mnemba Island Lodge, Tanzania, $3,100
9. Hotel Cala di Volpe, Italy, $2,939
10. Queen Charlotte Lodge, Canada, $2,800

Na ninyi majirani zetu mboreshe hotel zenu ziwe na hadhi ya kuchaji gharama kubwa za malazi!!!

source:www.luxury-hotels.com/press/survey-2013.html

NB: As survey done in the year 2013, the is possibility of takwimu kubadilika....
 
Mkuu BONGOLALA mimi ni mdau mkubwa wa 4 Season Safari Lodge ipo Serengeti hiyo ni habari nyingine kabisa majiran zetu wasubirie watalii wa kuokotaokota.

Kuna iliyo Serengeti national park ya mkuu wa kaya inaitwa FOUR Seasons Hotel ina charge usd 11200 per night
 
Last edited by a moderator:

Inawezekana kupata watalii wa "kuokotaokota" wa kulipa $200 -500 per night kama mia moja hivi ni rahisi sana zaidi ya kumpata mmoja wa kulipa $10,000.

Hivyo katika mahesabu, wenzetu ambao hawana hizo expensive hotels ambazo zinaweza kuwa mostly tupu/ under capacity wakawa wanatuzidi kipato cha utalii.
 
Kweli wewe bongolala hoteli unayozungnmzia ni kati ya euro300 mpaka euro 700 na sio ya mwenye nyumba
 
Umenena vyema mkuu. Na ndio maana wachaga maduka yao faida wanayopiga kwenye bidhaa zao ni sh 50 kwa kila pc ili ziende faster na mwishowe anakuwa na faida kubwa sana.
 
Kuna iliyo Serengeti national park ya mkuu wa kaya inaitwa FOUR Seasons Hotel ina charge usd 11200 per night

Mmmmmh hapa kuna walakini, nadhani panahitaji link ya kuona rate zao... BONGOLALA tafadhari amka utupe link tuthibitishe..
 
Last edited by a moderator:
MK254 kaibu huku kwa jirani kuna tamasha baadaye kuna open buffet!!
 
Last edited by a moderator:
Jisomee mwenyewe na utambue kwamba pamoja na hayo lakini mimi mtanzania wa kawaida sioni la maana kiuchumi binafsi na bado uchumi unazidi kushuka tu!!!! Naamini hizi hotel zinajaa kila wakati, ila siamini kama kodi itakuwa inalipwa ipasavyo..

1. North Island Lodge, Seychelles $5,843 USD per couple
2. Laucala Resort, Fiji, $5,040
3. Khwai River Lodge, Botswana, $4,060
4. Savute Elephant Camp, Botswana, $4,020
5. Eagle Island Camp & Spa, Botswana, $3,970
6. Singita Grumeti Reserves, Tanzania, $3,570
7. King Pacific Lodge, Canada, $3,249
8. Mnemba Island Lodge, Tanzania, $3,100
9. Hotel Cala di Volpe, Italy, $2,939
10. Queen Charlotte Lodge, Canada, $2,800

Na ninyi majirani zetu mboreshe hotel zenu ziwe na hadhi ya kuchaji gharama kubwa za malazi!!!

source:www.luxury-hotels.com/press/survey-2013.html

NB: As survey done in the year 2013, the is possibility of takwimu kubadilika....
¨hapa labda nimtembelee mgeni aliyefikia hapa...maana hizo gharama sijui ni mshahara wangu wa miaka 2!!!
 
Kuna iliyo Serengeti national park ya mkuu wa kaya inaitwa FOUR Seasons Hotel ina charge usd 11200 per night

Mmmmh! Wabongo kwa sound! Four Seasons ni chain ya Hotels ziko kibao paka NY huko, siyo ya mkuu wa kaya, ni ya Mkanada anaitwa Isadore.

Isadore.jpg
 
Jisomee mwenyewe na utambue kwamba pamoja na hayo lakini mimi mtanzania wa kawaida sioni la maana kiuchumi binafsi na bado uchumi unazidi kushuka tu!!!! Naamini hizi hotel zinajaa kila wakati, ila siamini kama kodi itakuwa inalipwa ipasavyo..

1. North Island Lodge, Seychelles $5,843 USD per couple
2. Laucala Resort, Fiji, $5,040
3. Khwai River Lodge, Botswana, $4,060
4. Savute Elephant Camp, Botswana, $4,020
5. Eagle Island Camp & Spa, Botswana, $3,970
6. Singita Grumeti Reserves, Tanzania, $3,570
7. King Pacific Lodge, Canada, $3,249
8. Mnemba Island Lodge, Tanzania, $3,100
9. Hotel Cala di Volpe, Italy, $2,939
10. Queen Charlotte Lodge, Canada, $2,800

Na ninyi majirani zetu mboreshe hotel zenu ziwe na hadhi ya kuchaji gharama kubwa za malazi!!!

source:www.luxury-hotels.com/press/survey-2013.html

NB: As survey done in the year 2013, the is possibility of takwimu kubadilika....

Hizi Hotel sijuwi ni Expensive kwa standards zipi, lakini obviously haziwezi Kuwa THE MOST EXPENSIVE HOTELS IN THE WORLD! Kuna Hoteli mpaka za milioni mia kwa usiku mmoja!
 
Only your words can be alive if you prove the link above is fake or unreliable... Unless otherwise am standing right!!!
 
Sijasema ni fake, nimejiuliza tu kuwa wametuia vigezo vipi, maana kuna Hotel mpaka za 40,000GBP kwa usiku mmoja, lakini zilizowekwa hapo zinaanzia $5K!! Huenda kuna kigezo kimenipita.
 
Mmmmmh hapa kuna walakini, nadhani panahitaji link ya kuona rate zao... BONGOLALA tafadhari amka utupe link tuthibitishe..

Kuna hii kitu mkuu hapo Four Seasons ambapo watu hupatia ukuu wa wilaya😛RESIDENTIAL VILLA
Grand and inviting, the spacious Presidential Villa features an authentic thatched roof, three bedrooms, a full kitchen, a dining room, a living room, indoor and outdoor shower facilities and a private gym. Imagine watching Serengeti wildlife from the private infinity-edge pool that overlooks an active watering hole. Ni usd 11200 per night
 
Last edited by a moderator:
Mmmmh! Wabongo kwa sound! Four Seasons ni chain ya Hotels ziko kibao paka NY huko, siyo ya mkuu wa kaya, ni ya Mkanada anaitwa Isadore.

View attachment 235549

Mh... Wakati inajengwa niliwahi kupeleka vifaa vya ujenzi kule(makuti) na mm niliambiwa ni ya mkuu wa kaya sa sijui kama ni ukweli au vip!

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Kweli wewe bongolala hoteli unayozungnmzia ni kati ya euro300 mpaka euro 700 na sio ya mwenye nyumba
Tembea uone mkuu mimi nilitembea hotel zote serengeti zipo 2 tuu ambazo hazikujengwa nyerere mojawapo ni hiyo.Kupata kibali cha kujenga mbugani ni issue hizo 2 ndiyo hufikia matajiri na superstars wa dunia. Wanakuja kwa private jets.Kilichonishangaza zaidi vyumba vya usd 11200 kuna booking za mpaka mwaka 2016 watu wameshalipia.Pia hizi za kawaida muda wote zina wageni.Kenya wanawaibia watalii pesa wanaua swala kisha wanamtundika mtini chui aje kumla kisha wanamuonyesha mtalii,wakati serengeti hivyo ni vitendo live.Kwa utajiri wa serengeti hatupaswi kuwa masikini hivi
 
Back
Top Bottom